Movie Reviews

Hawkeye anaweza badilishwa kuwa Ronin ili abaki Avengers maana Villains wanaokuja hawezi survive na mishale tu!..
😀😀😀😀 ila na yeye si Jasusi kama Ramanova ???
Hivi vision ndiyo harudi tena sasa ???
 
Duh!.. Me niljua dada ni Hera pekee kumbe wapo na wengine [emoji23]
Si ndiyo huyo huyo ambaye Thanos anampenda sana, yani kafa kaoza, hivi kama unakumbuka Easter Egg kwenye movie ya Ragnarok ??? Hera aliingia kwenye Vault ya Baba yake akakuta Gauntlet ya Thanos na akaipiga na kusema its fake....Unajua kwanini alisema its fake ???? Bwahahaha kwasababu they had a thing with Thanos na anamjua vizuri sana. Ile ni Easter Egg ambayo wengi wameipuuza sana lakini ina maaana.!
 
Hahaa.. anajua huyu ni shem ake tu!.. kweli Thor ana shida!.
 
Palantir wanamuongelea Thanos kwenye Agents of shield kwamba atavamia dunia nzima na kufanya uharibifu mkubwa
Hahahh.. unajua Agents of Shield nimeishia season 4 ninayo season 5 but nilikuwa namalizia kwanza Da Vinci Demons niianze hiyo!.
Acha wamuongelee tu masters wao wamemshindwa wao watafanya nini kipya!. Ila unamuonaje Ghost Rider hawezi shughuli na Sons of Thanos kweli!?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…