Movie Reviews

Movie Reviews

IMG_20180721_110237_292.jpg

kwangu me adondoshe SHERLOCK HOLMES 3 kwanza! Malcom Lumumba Da'Vinci thanos neo1
 
Kuhusu kusema NICK FURY HANA AUTHORITY YOYOTE AVENGERS unakuwa UMEKOSEA SANA!! "Rejea "IRON MAN 1" kk baada ya tonny stark kujiona anakaribia kufa kwa sababu ya ile RADIOACTIVE MATERIAL aliyoweka kifuani mwake aliamua kula bata na kufanya mambo ya ajabu.. Sasa ikawa hivi..

Nick fury ndo aliyemtuma BLACK WIDOW ajifanye ni secretary wa ofisi ya stark kumbe ameenda kumchunguza ili wamfanyie RECRUIT YA KUWA MEMBER WA AVENGERS ...na km unakumbuka Alimtuma pia COULSON( wa agents of shield) aende kumchek jamaa na kwa kuongezea hadi walimpiga HOUSE ARREST sababu alikuwa anazingua kwa order zilizotoka kwa NICK FURY!!!

BRO NICK FURY ANACHEO KIKUBWA MULE..
Hivi Nick Fury kwenye Infinity War alimuactivate Captain Marvel au nani pale kabla ya kufa ??
 
Hahahaha, mpaka sasa hakuna kama Thanos mzeee. Yaani jinsi alivyomtwanga Hulk pale mwanzoni ndiyo niliogopa. Hulk alipigwa ngumi moja tu ya shingo hadi akasinyaa, sasa alivyoanza kupewa chai siyo kawaida aisee .
Dah, hatimaye nimeicheki. nilikuwa nasubiria safisafi itoke. Hulk alipigwa kifuti kimoja matata sana.
 
hahh Hulk akirudi sijui atamuingiaje Thanos, kile kipigo hakutegemea alijua ataleta ubabe kama kwa loki.
 
Dah, hatimaye nimeicheki. nilikuwa nasubiria safisafi itoke. Hulk alipigwa kifuti kimoja matata sana.
Kuna yule mtoto wa thanos aliyepigana na black widow, scarlet na general mwishoni kabisa nae alikuwa anawatembezea kipigo!..
 
hahh Hulk akirudi sijui atamuingiaje Thanos, kile kipigo hakutegemea alijua ataleta ubabe kama kwa loki.
Tony mwenyewe atakuwa na heshima sana. maana huwa anapiga wenzake huku akifanya mizaha ile mle yalimkuta. Jamaa yuko "all that for a drop of blood?" Tony hadi armor iliachia.
 
Tony mwenyewe atakuwa na heshima sana. maana huwa anapiga wenzake huku akifanya mizaha ile mle yalimkuta. Jamaa yuko "all that for a drop of blood?" Tony hadi armor iliachia.
Kudondoshewa mwezi si mchezo!..Ila yaelekea Tony muoga sana wa kifo, alipochomwa jicho alotoa as haamini anakufa!..
 
yuko vizuri. Alumwambia Pratt. "your one sandwich away from being fat"🙂
Anamuuliza winter soldier " how much for the gun?" jamaa anamjibu "ain't for sale!".. Eti akaulizia bei ya ule mkono wake![emoji23]
 
Naona DCU washaharibu kuifanya na ucomedic Shazam!.
 
Last edited:
Back
Top Bottom