yeddy guyy
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 627
- 489
Hatari tupuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ni hatari sanaaaaaReady player one.
Hahahaha, mpaka sasa hakuna kama Thanos mzeee. Yaani jinsi alivyomtwanga Hulk pale mwanzoni ndiyo niliogopa. Hulk alipigwa ngumi moja tu ya shingo hadi akasinyaa, sasa alivyoanza kupewa chai siyo kawaida aisee .Ugiligili Malcom Lumumba Da'Vinci
nani mtata kati ya hawa jamaa!?..
THANOS - MCU Vs DARKSEID - DCU
View attachment 823770
Hivi Nick Fury kwenye Infinity War alimuactivate Captain Marvel au nani pale kabla ya kufa ??Kuhusu kusema NICK FURY HANA AUTHORITY YOYOTE AVENGERS unakuwa UMEKOSEA SANA!! "Rejea "IRON MAN 1" kk baada ya tonny stark kujiona anakaribia kufa kwa sababu ya ile RADIOACTIVE MATERIAL aliyoweka kifuani mwake aliamua kula bata na kufanya mambo ya ajabu.. Sasa ikawa hivi..
Nick fury ndo aliyemtuma BLACK WIDOW ajifanye ni secretary wa ofisi ya stark kumbe ameenda kumchunguza ili wamfanyie RECRUIT YA KUWA MEMBER WA AVENGERS ...na km unakumbuka Alimtuma pia COULSON( wa agents of shield) aende kumchek jamaa na kwa kuongezea hadi walimpiga HOUSE ARREST sababu alikuwa anazingua kwa order zilizotoka kwa NICK FURY!!!
BRO NICK FURY ANACHEO KIKUBWA MULE..
Sherlock the spy.......View attachment 823760
kwangu me adondoshe SHERLOCK HOLMES 3 kwanza! Malcom Lumumba Da'Vinci thanos neo1
Dah, hatimaye nimeicheki. nilikuwa nasubiria safisafi itoke. Hulk alipigwa kifuti kimoja matata sana.Hahahaha, mpaka sasa hakuna kama Thanos mzeee. Yaani jinsi alivyomtwanga Hulk pale mwanzoni ndiyo niliogopa. Hulk alipigwa ngumi moja tu ya shingo hadi akasinyaa, sasa alivyoanza kupewa chai siyo kawaida aisee .
hahh Hulk akirudi sijui atamuingiaje Thanos, kile kipigo hakutegemea alijua ataleta ubabe kama kwa loki.Hahahaha, mpaka sasa hakuna kama Thanos mzeee. Yaani jinsi alivyomtwanga Hulk pale mwanzoni ndiyo niliogopa. Hulk alipigwa ngumi moja tu ya shingo hadi akasinyaa, sasa alivyoanza kupewa chai siyo kawaida aisee .
Hivi Sherlock ndio Inspector Gadgets!?.. Nimeikumbuka hiyo animation miaka flani ilikuwepo.Sherlock the spy.......
Kuna yule mtoto wa thanos aliyepigana na black widow, scarlet na general mwishoni kabisa nae alikuwa anawatembezea kipigo!..Dah, hatimaye nimeicheki. nilikuwa nasubiria safisafi itoke. Hulk alipigwa kifuti kimoja matata sana.
Namkubali sana yule rackoon, anajua ponda wenzie balaaIla jamaa wa Gurdians of the Galaxy wako Funny sana.
Tony mwenyewe atakuwa na heshima sana. maana huwa anapiga wenzake huku akifanya mizaha ile mle yalimkuta. Jamaa yuko "all that for a drop of blood?" Tony hadi armor iliachia.hahh Hulk akirudi sijui atamuingiaje Thanos, kile kipigo hakutegemea alijua ataleta ubabe kama kwa loki.
yuko vizuri. Alumwambia Pratt. "your one sandwich away from being fat"🙂Namkubali sana yule rackoon, anajua ponda wenzie balaa
Kudondoshewa mwezi si mchezo!..Ila yaelekea Tony muoga sana wa kifo, alipochomwa jicho alotoa as haamini anakufa!..Tony mwenyewe atakuwa na heshima sana. maana huwa anapiga wenzake huku akifanya mizaha ile mle yalimkuta. Jamaa yuko "all that for a drop of blood?" Tony hadi armor iliachia.
Anamuuliza winter soldier " how much for the gun?" jamaa anamjibu "ain't for sale!".. Eti akaulizia bei ya ule mkono wake![emoji23]yuko vizuri. Alumwambia Pratt. "your one sandwich away from being fat"🙂