wakiitolea Eddy, Ed n' Edin itakua poa sanaBatman nilitizama kama katuni nafkiri 1996 kama sikosei. Hata star wars pia yaani kabka ya movie hizo katuni ndo za kwanza kabisaa. Ila nasikitika Samurai Jack my favourite hawajamtolea movie mpaka leo
mkuu unanikumbusha mbali sana dah... nilikuwa namkubali san yule eddie mwenye kofia nyeusi yeye alikuwa na mwenye akili lakini ndo looser yaani anapelekwa pelekwa na yule chizi mwenye shati Ed wa kwanza haaaaaa....pia kuna Courageous dog, power puff girls, etc hivi ulitizama kind next door number 1, 2,3,4,5?wakiitolea Eddy, Ed n' Edin itakua poa sana
Unazisahau vipi Garfield, Dexters' Lab etc. hizo kids next door kama nazikumbuka hivi!.mkuu unanikumbusha mbali sana dah... nilikuwa namkubali san yule eddie mwenye kofia nyeusi yeye alikuwa na mwenye akili lakini ndo looser yaani anapelekwa pelekwa na yule chizi mwenye shati Ed wa kwanza haaaaaa....pia kuna Courageous dog, power puff girls, etc hivi ulitizama kind next door number 1, 2,3,4,5?
Mkuu hahaaa...hiyo lab ya Dexter siwezi isahau ilivyikuwa inapata tabu toka kwa Didi....kuna Wale wa stone age halafu kuna ile inakuwaga na nyimble ya barbie gal in a barbie world.....Unazisahau vipi Garfield, Dexters' Lab etc. hizo kids next door kama nazikumbuka hivi!.
Unaisemea Flintstones, kuna wale Double Dragon, Sonic, PopeyeMkuu hahaaa...hiyo lab ya Dexter siwezi isahau ilivyikuwa inapata tabu toka kwa Didi....kuna Wale wa stone age halafu kuna ile inakuwaga na nyimble ya barbie gal in a barbie world.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulimfatilia na Jim Carey. He was version of human cartoon ever. Sijaona anayeweza Fanya kama yeyeUnaisemea Flintstones, kuna wale Double Dragon, Sonic, Popeye
kwenye The Mask 1 alitisha!.Mkuu ulimfatilia na Jim Carey. He was version of human cartoon ever. Sijaona anayeweza Fanya kama yeye
Humo kuna scene anaongea Kiswahili pia kuna msemo wake maarufu ndo uliopoanzia" ALRIGHT THEN".kwenye The Mask 1 alitisha!.
Haha...Rocket ana Majungu balaaNamkubali sana yule rackoon, anajua ponda wenzie balaa
Rocket namkubali sana sarcasm zake, sijui director mpya wa GOTG ataweza kuwapatia na yeye!!..
Hii sijaiona but naipa 98% hakuna utoto kama SHAZAM!..
Hahahaha, hii niliwahi kuiona Mzee Wick....Malcom Lumumba mfano hii ndio ingekuwa scene ya Vision alivyozaliwa. Naona waliikata akati imetulia zaidi!.
Vision aliwasumbua kwenye hii πππHahahaha, hii niliwahi kuiona Mzee Wick....
Vision hatari sanaaaa.......Vision aliwasumbua kwenye hii πππ
Halafu nimesoma sehemu wanasema Black Panther inarudi Netflix kama series πVision hatari sanaaaa.......
Animation ile iliyokuwa BET au ???Halafu nimesoma sehemu wanasema Black Panther inarudi Netflix kama series π
Hamna ni film kabisa sio animation!..Animation ile iliyokuwa BET au ???