James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Mwanzoni ilianza vyema sana ile ladha ya muvi za kifalme au ki chifu baada ya hapo sasa takataka tupuBlack Adam
Overrated and very hyped movie. It's best wangeifanya iwe animation.
Story ipo vizuri kama wasingifanya super hero movie.
Kwanza wamempa The Rock double role mwanzoni kama vile anamsihi kijana asipambane na watawala halafu tena baadaye yeye ndo anakuwa huyo huyo kijana...what a directory blunder.
Don't waste your bundle
Irate it 2/10
Constatine??The devils All The Time
Inaelezea uwezo wa shetani kwa watu.
Story haijanyooka sana. Ni kama bad luck flani ambazo zinaweza fika mpaka kizazi cha tatu au cha nne. Hizi bad luck writer amezidirect kwa shetani kama title yake inavyojieleza. Wakati huohuo ameondoa uwezo wa Mungu ktk kuwajibi watu wake.
Sijui writer alikuwa na mawazo gani au lengo ktk kuandika.
Pia kuna series inarandana jina na hii movie. Nahisi Ina maudhui sawa.
It is average movie.
I rate it 2/10
No inaitwa hivyo hivyo "The devil All the time" labda hiyo series inaweza kuwa inaitwa hivyo something like watching..... Ila movie hilo ndo jina lake.Constatine??
Nimeidownload juzi kumbe ni mbovu, Sina mpango wa kuiangalia tenaLuther the fallen Sun 2023
Hyped movie ila ya kawaida sana.
Story ya kuunga unga. Feature za ki wack editors wamezingua. Kuna sehemu muuaji kavalishwa kinyago kwa editing za computer halafu kinyago kinacheza hakikai usoni wakati lengo la muuaji ni kutojulikana kwa sababu wanaomuona wanamfahamu na Wana ukaribu naye.
Idriss Eba baada ya kukosa u James Bond wamempa dili la kucheza movie under BBC kumpooza ila ni ya kiwack sana. Haijulikani no documentary au movie.
Ni average movie.
I rate it 1/10
Hujaipendea nini mkuu mbona movie imetuliaCreed sijaipenda kama hujawahi angalia undisputed bora uangalie hiyo kuliko creed
Nilijua nitakutana na msisimko wa undisputedHujaipendea nini mkuu mbona movie imetulia
Mkuu endelea kutupa madini unatusaidia kutuesha kudownload trashes.The devils All The Time
Inaelezea uwezo wa shetani kwa watu.
Story haijanyooka sana. Ni kama bad luck flani ambazo zinaweza fika mpaka kizazi cha tatu au cha nne. Hizi bad luck writer amezidirect kwa shetani kama title yake inavyojieleza. Wakati huohuo ameondoa uwezo wa Mungu ktk kuwajibi watu wake.
Sijui writer alikuwa na mawazo gani au lengo ktk kuandika.
Pia kuna series inarandana jina na hii movie. Nahisi Ina maudhui sawa.
It is average movie.
I rate it 2/10