Movie Reviews

Movie Reviews

Avatar : The way of water
Ni movie nzuri.
Tafuta clean version sema ni GB na zaid ila worth it...
Zoe Saldana my favourite yupo ktk ubora sana ktk hizi movie...
Director ametupatia kila kitu tulichosubiri...
Lakini naona actions zimepungua ili kuifungua movie...wameonesha visa vingi vioya ambavyo vitaifanya movie iwe na muendelezo sana hapo baadaye...

Namuona Saldana akikaa ktk hizo sequel for more than ten yrs to come from now...her last fighting scene was ape shit hahaaaa...
Hii movie inafaa uitazame Cinema

It is 8/10 to me
 
Blindspotting
Jamaa anatoka jela akiwa ktk parole anapata kazi ya kuhamisha watu (movers) ktk kazi zake anashuhudia polisi akimuua mtu. Anatamani aseme lakini mazingira yanambana koz alishuhudia tukio wakati amevunja muda wa parole wa kuwa outside. Hali hiyo inamtesa sana kwa kutofanya jambo lolote kwa yale mauji. Siku anaenda kumhamisha mtu kumbe ni mke wa afande muuaji ndo anahama. Kiufupi ni movie nzuri kucheki. Inaelezea shida za black ktk legal system.
Writer amepangili conversations kuwa kama open poem / spoken words...utaipenda ni nzuri kucheki.
It's average movie but you can watch it, not bad though.
I rate it 3/10
 
Legion
It's shit movie don't watch it.
Don't waste you buddle to download it. If you did don't waste your time. Cheza na mwanao.
I rate it 0/10
 
Black Adam
Overrated and very hyped movie. It's best wangeifanya iwe animation.
Story ipo vizuri kama wasingifanya super hero movie.
Kwanza wamempa The Rock double role mwanzoni kama vile anamsihi kijana asipambane na watawala halafu tena baadaye yeye ndo anakuwa huyo huyo kijana...what a directory blunder.
Don't waste your bundle
Irate it 2/10
 
Mwanzoni ilianza vyema sana ile ladha ya muvi za kifalme au ki chifu baada ya hapo sasa takataka tupu
 
Luther the fallen Sun 2023
Hyped movie ila ya kawaida sana.
Story ya kuunga unga. Feature za ki wack editors wamezingua. Kuna sehemu muuaji kavalishwa kinyago kwa editing za computer halafu kinyago kinacheza hakikai usoni wakati lengo la muuaji ni kutojulikana kwa sababu wanaomuona wanamfahamu na Wana ukaribu naye.

Idriss Eba baada ya kukosa u James Bond wamempa dili la kucheza movie under BBC kumpooza ila ni ya kiwack sana. Haijulikani ni documentary au movie.

Ni average movie.

I rate it 1/10
 
Antebellum (2020)
Fanatic White people wametengeza pre civil war park kind of museum kwa watu kwenda kujifunza maisha yalikuwaje kipindi Cha slavery.
Then, wakifanya kuwa really time experience kwa kuwakamata renowned civil rights/ human/ equal rights activists wa experience maisha yalivyokuwa. Wamefanya kila kitu kilivyokuwa miaka ya 1770s.

It's nice movie to watch. It can give you a saddening nod.

I rate it 4/10
 
The devils All The Time
Inaelezea uwezo wa shetani kwa watu.
Story haijanyooka sana. Ni kama bad luck flani ambazo zinaweza fika mpaka kizazi cha tatu au cha nne. Hizi bad luck writer amezidirect kwa shetani kama title yake inavyojieleza. Wakati huohuo ameondoa uwezo wa Mungu ktk kuwajibi watu wake.
Sijui writer alikuwa na mawazo gani au lengo ktk kuandika.

Pia kuna series inarandana jina na hii movie. Nahisi Ina maudhui sawa.

It is average movie.
I rate it 2/10
 
Constatine??
 
Creed sijaipenda kama hujawahi angalia undisputed bora uangalie hiyo kuliko creed
 
Luther the fallen Sun 2023
Hyped movie ila ya kawaida sana.
Story ya kuunga unga. Feature za ki wack editors wamezingua. Kuna sehemu muuaji kavalishwa kinyago kwa editing za computer halafu kinyago kinacheza hakikai usoni wakati lengo la muuaji ni kutojulikana kwa sababu wanaomuona wanamfahamu na Wana ukaribu naye.

Idriss Eba baada ya kukosa u James Bond wamempa dili la kucheza movie under BBC kumpooza ila ni ya kiwack sana. Haijulikani no documentary au movie.

Ni average movie.

I rate it 1/10
Nimeidownload juzi kumbe ni mbovu, Sina mpango wa kuiangalia tena
 
The devils All The Time
Inaelezea uwezo wa shetani kwa watu.
Story haijanyooka sana. Ni kama bad luck flani ambazo zinaweza fika mpaka kizazi cha tatu au cha nne. Hizi bad luck writer amezidirect kwa shetani kama title yake inavyojieleza. Wakati huohuo ameondoa uwezo wa Mungu ktk kuwajibi watu wake.
Sijui writer alikuwa na mawazo gani au lengo ktk kuandika.

Pia kuna series inarandana jina na hii movie. Nahisi Ina maudhui sawa.

It is average movie.
I rate it 2/10
Mkuu endelea kutupa madini unatusaidia kutuesha kudownload trashes.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Night Train
It is below average movie.
The movie is about single mom struggling to keep up with life with ill son who depends medications from illegal supply chain.
The police commissioned undercover police officer to look into the matter who is less connected to movie story from dust to dawn of the movie. The movie has no climax...ni bora kuangalia taarifa ya habari.
The casting crew worked below standard.
The story is below average the actions aren't thrilling nor motivating to keep one watching.

The director & writer still struggling to break the celling.

Save your buddle.

I rate it 1/10
 
Turning Red
Animation
The story is good... entertaining. I like the camera guys of the movie the made a good work to have perfect pictures.
It's more for teen.
I like it cos it has no LGBt*** issues like Light Years or many teen animations recently.

Good to watch.
I recommend for teen girls

I rate it 4/10
 
Resident Evil: Welcome to Raccoon City

The director tried and failed to end previous sequels which made it even harder to open up for another one.

The director could have made like what Alliens director did that they too much on hand for one movie they had to make Prometheus out of Allien cuts in order not to interfere with good pace of the movie.

The story started perfectly but later on ther was no more thrilling nor in expected chains of actions to keep audience drowned in the movie.

Don't watch it. Not that good.
Irate it 3/10
 
Violent night

Santa ktk mizunguko yake anaingia nyumba ambayo kuna uvamizi. Anaanza kujihusisha kumuokoa mtoto na familia ya waliovamiwa.

Story imechanganywa fairytale ya krismas comedy km home alone na action movie. Nafkiri director alilenga kupata audience wa fairytale, comedy na action movie altogether na amefanikiwa.

Inahusu krimass lakini si nzuri kwa watoto Ina abusive language na mauji.

I rate it 4/10
 
Back
Top Bottom