Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa!!..Tena kipindi hicho hakuna kudownload ni unanunua CD haha!!.. Ile LOST nzima niliifatilia kwenye CD.Duuu Mkuu umeicheki hadi Traveller ?? wewe noma sana!
Nakumbuka lilikuwa bonge la Series yaani...Sijui kama lingeendelea lingefika wapi!
Hahaa!!..Tena kipindi hicho hakuna kudownload ni unanunua CD haha!!.. Ile LOST nzima niliifatilia kwenye CD
Father Eko si alikuja kuuliwa na ile mist!?.Hahahahaha LOST,
Mzee Sawyer mwenyewe: ila Aliyeandika Script za Sawyer na Benjamin Linus ni mwanaume.
Mimi sijui hata nisemaje Hivi kuna Father Eko unamkumbuka ???😀😀😀😀
Ewaaaah yule yule.Father Eko si alikuja kuuliwa na ile mist!?.
Hebu nikumbushe kidogo!!...Ewaaaah yule yule.
Sasa kuna sehemu Rebels walivamia kanisani wakati yeye anahubiri, unakumbuka alichowafanya ??
😀😀😀😀😀
Aliwaua kinyama hadi kuna maza moja mshirika wake akashangaa sana!Hebu nikumbushe kidogo!!...
Hahaha yure father si ilikuwa kawaida yake tu sema vazi lilikuwa linamlinda!...Unakumbuka hata msituni alivyokuwa anahangaika nna alivyokuja kuta mzigoo wao wa madawa.Aliwaua kinyama hadi kuna maza moja mshirika wake akashangaa sana!
Benjamin Linus ni noma sana!Hahaha yure father si ilikuwa kawaida yake tu sema vazi lilikuwa linamlinda!...Unakumbuka hata msituni alivyokuwa anahangaika nna alivyokuja kuta mzigoo wao wa madawa.
Mkuu huoni hao ndio wangefaa hapa Bongo watunyooshee mafisadi,wauza madawa , majangili na wezi wa makinikia Haahaa lazima discipline ingekuja tu kwanza hilo jina tu ukilisikia lazma upate stroke 😀😀😀😀Ewaaaaaaa, hao hao!
Ilikuwa ni Intelligence Organization moja siyo ya mzaha mzaha.
Walikuwa wako wanafanya kazi kama seli za mwili yaani....No Politics no Jokes.
Ukizingua tu uwe mwanaisasa au nani wanakupoteza hapo hapo.....Wanasiasa walikuwa wakisikia kwamba The Obsidian Order wanasimamia kitu walikuwa wanakuwa wapole na hawagusi kabisa. Mara ya kwanza walikuwa ni Para-Military Organization wakanyanganywa meno kwasababu walikuwa hawachezi na wanasiasa kabisa. Wakisema hapana ni hapana..Sasa wewe kimwana siasa jifanye unaleta risala zako wanakuchinjia baharinii......
Bwhahahahaha,
They were Just Perfect.. Kama kuna nchi ina Intellijensia ya vile basi itatawala dunia nzimaaa.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kabisa kabisaa!Mkuu huoni hao ndio wangefaa hapa Bongo watunyooshee mafisadi,wauza madawa , majangili na wezi wa makinikia Haahaa lazima discipline ingekuja tu kwanza hilo jina tu ukilisikia lazma upate stroke 😀😀😀😀
Unapenda horror basi itafute Tetsuo:The iron man ya kitambo sana japan huko duh kwangu mimi ndio scariest kwa kweli unaweza usilale wiki nzimaMambo ya series za X-files, Bones, CSI Miami na CSI new york sio!?...
Me ukitoa sci-fi napenda sana Action pia ila hizi series za Horror naaangalia nikikosa cha kuangalia aseh
Hiyo movie inahusu Mungu alipotea sasa Malaika wakashuka duniani kuwaua binadamu wakiamini ndio sababu ya mungu kupotea. Aina hiyo fatilia na LUCIFER na THE MESSENGER. Zingine nimesahau.Hebu mazee hivi Dominion huwa mnaielewa inahusu nini?
Hebu mazee hivi Dominion huwa mnaielewa inahusu nini?
Hata mkuu me horror movie sio type yangu kabisa!. Nakumbuka nilikuwa nikiangalia movie za Simba silali vizuri usiku kama zile Lion of Tsavo na Prey!!..Unapenda horror basi itafute Tetsuo:The iron man ya kitambo sana japan huko duh kwangu mimi ndio scariest kwa kweli unaweza usilale wiki nzima
Hivi umeifatilia Legend!?. Me niliishia jamaa alipojua mke wake ni secret Agent na jina lake sio lake!!.. Alikuja tambua jina lake halisi?, maana inaonekana muongo mpaka akasahau anaitwa nani yeye mwenyewe!.Ni mwendelezo wa Ile Movie inaitwa Legion....!
Mungu alichukia akaondoka Mbinguni basi Malaika wakapata hasira wakawavamia wanadamu kwamba wao ndiyo wamefanya Mungu ahame mbinguni. Sasa Gabriel ndiye aliwaongoza kuwafutilia mbali wanadamu......!
Prison Break!?...si ilishatoka kitambo hadi ikaisha au season 7 unamaanisha?Pb Season 6 lini inatoka.