Movie Reviews

Movie Reviews

Duuu Mkuu umeicheki hadi Traveller ?? wewe noma sana!
Nakumbuka lilikuwa bonge la Series yaani...Sijui kama lingeendelea lingefika wapi!
Hahaa!!..Tena kipindi hicho hakuna kudownload ni unanunua CD haha!!.. Ile LOST nzima niliifatilia kwenye CD.
Na kuna drama series flani ONE TREE HILL niliifatilia yote aseh!!..
 
Hahaa!!..Tena kipindi hicho hakuna kudownload ni unanunua CD haha!!.. Ile LOST nzima niliifatilia kwenye CD

Hahahahaha LOST,
Mzee Sawyer mwenyewe: ila Aliyeandika Script za Sawyer na Benjamin Linus ni mwanaume.
Mimi sijui hata nisemaje Hivi kuna Father Eko unamkumbuka ???😀😀😀😀
 
Aliwaua kinyama hadi kuna maza moja mshirika wake akashangaa sana!
Hahaha yure father si ilikuwa kawaida yake tu sema vazi lilikuwa linamlinda!...Unakumbuka hata msituni alivyokuwa anahangaika nna alivyokuja kuta mzigoo wao wa madawa.
 
Hahaha yure father si ilikuwa kawaida yake tu sema vazi lilikuwa linamlinda!...Unakumbuka hata msituni alivyokuwa anahangaika nna alivyokuja kuta mzigoo wao wa madawa.
Benjamin Linus ni noma sana!
Mzee wa I will take you to Jacob or the Island chose you!
😀😀😀😀
 
Ewaaaaaaa, hao hao!
Ilikuwa ni Intelligence Organization moja siyo ya mzaha mzaha.
Walikuwa wako wanafanya kazi kama seli za mwili yaani....No Politics no Jokes.
Ukizingua tu uwe mwanaisasa au nani wanakupoteza hapo hapo.....Wanasiasa walikuwa wakisikia kwamba The Obsidian Order wanasimamia kitu walikuwa wanakuwa wapole na hawagusi kabisa. Mara ya kwanza walikuwa ni Para-Military Organization wakanyanganywa meno kwasababu walikuwa hawachezi na wanasiasa kabisa. Wakisema hapana ni hapana..Sasa wewe kimwana siasa jifanye unaleta risala zako wanakuchinjia baharinii......

Bwhahahahaha,
They were Just Perfect.. Kama kuna nchi ina Intellijensia ya vile basi itatawala dunia nzimaaa.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mkuu huoni hao ndio wangefaa hapa Bongo watunyooshee mafisadi,wauza madawa , majangili na wezi wa makinikia Haahaa lazima discipline ingekuja tu kwanza hilo jina tu ukilisikia lazma upate stroke 😀😀😀😀
 
Mkuu huoni hao ndio wangefaa hapa Bongo watunyooshee mafisadi,wauza madawa , majangili na wezi wa makinikia Haahaa lazima discipline ingekuja tu kwanza hilo jina tu ukilisikia lazma upate stroke 😀😀😀😀
Kabisa kabisaa!
Halafu ukijiunga nao wankufanya Surgery wanakuwekea Cranial Implant inakusaidia ku-resist any form of torture pindi wanakamatwa. Hivyo hata hata wanasiasa hawawafahamu kabisa, hata uwaue hawatajani kabisaa: Bongo wakija hapa basi watu wengi watapotea vibaya, tunaweza kuta Ailimia 80% ya Serikali ingepotea 😀😀😀😀
 
Mambo ya series za X-files, Bones, CSI Miami na CSI new york sio!?...
Me ukitoa sci-fi napenda sana Action pia ila hizi series za Horror naaangalia nikikosa cha kuangalia aseh
Unapenda horror basi itafute Tetsuo:The iron man ya kitambo sana japan huko duh kwangu mimi ndio scariest kwa kweli unaweza usilale wiki nzima
 
Hebu mazee hivi Dominion huwa mnaielewa inahusu nini?
Hiyo movie inahusu Mungu alipotea sasa Malaika wakashuka duniani kuwaua binadamu wakiamini ndio sababu ya mungu kupotea. Aina hiyo fatilia na LUCIFER na THE MESSENGER. Zingine nimesahau.
 
Hebu mazee hivi Dominion huwa mnaielewa inahusu nini?

Ni mwendelezo wa Ile Movie inaitwa Legion....!
Mungu alichukia akaondoka Mbinguni basi Malaika wakapata hasira wakawavamia wanadamu kwamba wao ndiyo wamefanya Mungu ahame mbinguni. Sasa Gabriel ndiye aliwaongoza kuwafutilia mbali wanadamu......!
 
Unapenda horror basi itafute Tetsuo:The iron man ya kitambo sana japan huko duh kwangu mimi ndio scariest kwa kweli unaweza usilale wiki nzima
Hata mkuu me horror movie sio type yangu kabisa!. Nakumbuka nilikuwa nikiangalia movie za Simba silali vizuri usiku kama zile Lion of Tsavo na Prey!!..
Juzi nilifatilia Annabelle: creation ule ujinga wao ikachukia kabisa!!.. Au ile Circle, wrong turn, hills have eyes,scream, drag me to hell!!.Naishia kuwachukia tu!!.
 
Ni mwendelezo wa Ile Movie inaitwa Legion....!
Mungu alichukia akaondoka Mbinguni basi Malaika wakapata hasira wakawavamia wanadamu kwamba wao ndiyo wamefanya Mungu ahame mbinguni. Sasa Gabriel ndiye aliwaongoza kuwafutilia mbali wanadamu......!
Hivi umeifatilia Legend!?. Me niliishia jamaa alipojua mke wake ni secret Agent na jina lake sio lake!!.. Alikuja tambua jina lake halisi?, maana inaonekana muongo mpaka akasahau anaitwa nani yeye mwenyewe!.
 
Back
Top Bottom