MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Jasusi wa CIA alifanyiwa visa na Bosi wake,Inahusu nini hii crisis??
Yeye kulipiza kisasi alivuruga Usalama wa nchi nzima hadi Marekani wakataka kuchapana na Uchina.
Jamaa ana akili sana ya kipekee sijawahi ona......Alimwua hadi First Lady bila hiana yani.!