Movie Reviews

Movie Reviews

Mungu aliwatuma Malaika kuwamaliza wanadamu kwa dhambi,
Basi akamtuma Michael akaja lakini akajificha huku huku akasema hawezi kufanya hivyo kwasababu anajua Mungu anawapenda sana Binadamu na ile ilikuwa ni test tu kumwona alivyo. Akatumwa Gabriel wee bwana wacha aje na Legions of heaven bwana...Sasa hapo kati Mungu akaondoka Mbinguni na Malaika wakawa hawajui wafanye nini tena...Wakamalizia hasira zote huku kwa wanadamu....Walifutilia dunia nzima mbali...!
Wanakamuana humu kichiz..
Ila bora Michael ndo angekua mbaya ajili ya position yake mbinguni
 
hapo nimeona I kill the giant.....cjaipenda kama ni Star ningeipa 1 star.....Ilo Giant halionekani ila mwisho....Labda kwasabab stelingi ni katoto kakike...Inafaa labda kwaajili ya WATOTO.....
 
Mungu aliwatuma Malaika kuwamaliza wanadamu kwa dhambi,
Basi akamtuma Michael akaja lakini akajificha huku huku akasema hawezi kufanya hivyo kwasababu anajua Mungu anawapenda sana Binadamu na ile ilikuwa ni test tu kumwona alivyo. Akatumwa Gabriel wee bwana wacha aje na Legions of heaven bwana...Sasa hapo kati Mungu akaondoka Mbinguni na Malaika wakawa hawajui wafanye nini tena...Wakamalizia hasira zote huku kwa wanadamu....Walifutilia dunia nzima mbali...!
Wanakamuana humu kichiz..
Ila bora Michael ndo angekua mbaya ajili ya position yake mbinguni
 
mission impossible
john wick
acts of vengeance
hitman
golden circle
Evelyn salt
white house down
lone survivor
the punisher hii ni series fupi ya 2017
and the like....

mtazi categorize wenyewe mi nimemaliza
List yako nzuri have seen kasoro hiyo series instead niliona punisher the movie years back
 
Damon hakuwai kunuharibia movie lakini ile sikumuelewa kwakweli.
Haha!!...naona kaanza zeeka lakini Matt Damon na Chaning Tatum hua nawaelewa sana siku hizi wakipewa action movie kama zamani alivyokuwa Nicolas Cage na Jet lee.
 
Prometheus niliipenda ila niliexpect watoe mwendelezo wa movie nyingine.....
Muendelezo wake ndio hiyo Alien: Covenant, sema hawajaiita Prometheus 2.
Ni kama ulizifatilia Divergent ambayo part 2 wakaiita Insurgent na part 3 wakaiita Allegiant ingawa inazingua unaweza kuwa unasubiria muendelezo kumbe ilishatoka kwa jina lingine!.
 
Back
Top Bottom