Movie Reviews

Movie Reviews

Tafuta na DC au Marvel Animation za hizo movie ili uwaelewe muendelezo wake zaidi!!..Anza na Justice League flashpoint/Paradox.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Mkuu series niliacha nafkiri 2009 lost iliniudhi kisiwa kilipopotea nikaona wanacheza na akili yangu jamaa alikuwa anazungusha nini kisiwa kikapotea...since then I have never been a fan for series.... Ila huwa nacheki mara moja moja
hiyo hapo hainaga mystery ni action kwenda mbele ukiona nipependa series ujue ina ladha ya kijasusi ndani yake na mkono wa kufa mtu
 
James Cameroon amesema atatia nyingine 2022 anold na mama ake John connor wanaungana tena
Hiyo lazima kuifatilia jamaa si mchezo na franchise yake!..Ila inabidi achague kumfanya Anorld a Terminator Mascot au atafute mtu mwingine afanye Terminator reboot tumzoee pia lakini Arnold kuigiza robot zee hata haivutii sana!..
 
Mkuu series niliacha nafkiri 2009 lost iliniudhi kisiwa kilipopotea nikaona wanacheza na akili yangu jamaa alikuwa anazungusha nini kisiwa kikapotea...since then I have never been a fan for series.... Ila huwa nacheki mara moja moja
Angalia Black Mirror series hutaichoka yani ni series lakini inahusu visa tofauti hata wewe ukiingia nao makubaliano unaigiza yako mradi ihusu technology!.
Mfano: Episode 1 season 1, jamaa wanamteka mtoto wa Malkia then wanataka PM wa UK amfvck nguruwe live kwenye TV. Wenyewe hawataki hela wala nini ila Waziri mkuu aigize porn na Pig[emoji23] kila saa wanamletea kiungo kimoja moja cha Princess!.
 
Wabongo mnajidai mnapenda uhalisia kisa bongo movie haiezi toa izo movie za science fiction
 
Movie hua Na category nyingi kuna documentary .kuna horror kuna reality yaani Kwa kifupi kuna za kufundisha Na zile za kustarehesha ...ukiona mtu analalamika ety movie haina uhalisia basi huyo si mfuatikiaji na mshamba wa kutupwa
 
Movie za kuelimisha hua ndio za uhalisia ila movie za kustarehesha ndio hua edit iko nyingi..Na Ni ushamba kulalamika ety movie hazina uhalisia akati title ya movie unaambiwa Ni science fiction
 
Hahaa!!..Tena kipindi hicho hakuna kudownload ni unanunua CD haha!!.. Ile LOST nzima niliifatilia kwenye CD.
Na kuna drama series flani ONE TREE HILL niliifatilia yote aseh!!..
Haha LOST ni balaaa, inahitaji uvumilivu sana nilipoimaliza nilishukuru asee
 
Back
Top Bottom