Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Kumbe tupo wahenga wengi, vipi uliifatilia enzi hizo na Terminator: sarah connor chronicles?List yako nzuri have seen kasoro hiyo series instead niliona punisher the movie years back
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe tupo wahenga wengi, vipi uliifatilia enzi hizo na Terminator: sarah connor chronicles?List yako nzuri have seen kasoro hiyo series instead niliona punisher the movie years back
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Tafuta na DC au Marvel Animation za hizo movie ili uwaelewe muendelezo wake zaidi!!..Anza na Justice League flashpoint/Paradox.
James Cameroon amesema atatia nyingine 2022 anold na mama ake John connor wanaungana tenaKumbe tupo wahenga wengi, vipi uliifatilia enzi hizo na Terminator: sarah connor chronicles?
Mkuu series niliacha nafkiri 2009 lost iliniudhi kisiwa kilipopotea nikaona wanacheza na akili yangu jamaa alikuwa anazungusha nini kisiwa kikapotea...since then I have never been a fan for series.... Ila huwa nacheki mara moja mojacheki na hiyo iko vizuri
hiyo hapo hainaga mystery ni action kwenda mbele ukiona nipependa series ujue ina ladha ya kijasusi ndani yake na mkono wa kufa mtuMkuu series niliacha nafkiri 2009 lost iliniudhi kisiwa kilipopotea nikaona wanacheza na akili yangu jamaa alikuwa anazungusha nini kisiwa kikapotea...since then I have never been a fan for series.... Ila huwa nacheki mara moja moja
hiyo hapo hainaga mystery ni action kwenda mbele ukiona nipependa series ujue ina ladha ya kijasusi ndani yake na mkono wa kufa mtuMkuu series niliacha nafkiri 2009 lost iliniudhi kisiwa kilipopotea nikaona wanacheza na akili yangu jamaa alikuwa anazungusha nini kisiwa kikapotea...since then I have never been a fan for series.... Ila huwa nacheki mara moja moja
mission impossible
john wick
acts of vengeance
hitman
golden circle
Evelyn salt
white house down
lone survivor
the punisher hii ni series fupi ya 2017and the like....
mtazi categorize wenyewe mi nimemaliza
mkuu hebu weka na nyingine za dizaini hiyo ambazo sijazioorodhesha hapoHapo Ongezea November Man
mkuu hebu weka na nyingine za dizaini hiyo ambazo sijazioorodhesha hapo
Resident Evil ya mwisho hakuna walichofanya!..wamebugi tu!.dah umeiacha resident evil.
Hiyo lazima kuifatilia jamaa si mchezo na franchise yake!..Ila inabidi achague kumfanya Anorld a Terminator Mascot au atafute mtu mwingine afanye Terminator reboot tumzoee pia lakini Arnold kuigiza robot zee hata haivutii sana!..James Cameroon amesema atatia nyingine 2022 anold na mama ake John connor wanaungana tena
Angalia Black Mirror series hutaichoka yani ni series lakini inahusu visa tofauti hata wewe ukiingia nao makubaliano unaigiza yako mradi ihusu technology!.Mkuu series niliacha nafkiri 2009 lost iliniudhi kisiwa kilipopotea nikaona wanacheza na akili yangu jamaa alikuwa anazungusha nini kisiwa kikapotea...since then I have never been a fan for series.... Ila huwa nacheki mara moja moja
nilipenda idea jamaa kasambaza copy zake alafu yeye katulia.Resident Evil ya mwisho hakuna walichofanya!..wamebugi tu!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi Jeeper Creeppers umeiona ??
Hata naye alibananishwa kwa akili sana [emoji23] [emoji23]Kati ya Wote naona Salazar ndio alimbananisha Sparrow!!
Haha LOST ni balaaa, inahitaji uvumilivu sana nilipoimaliza nilishukuru aseeHahaa!!..Tena kipindi hicho hakuna kudownload ni unanunua CD haha!!.. Ile LOST nzima niliifatilia kwenye CD.
Na kuna drama series flani ONE TREE HILL niliifatilia yote aseh!!..