Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Duh hivi bado ipo? Niliangalia season 1. Inahusu stori za malaika Gabriel na Michael.Hebu mazee hivi Dominion huwa mnaielewa inahusu nini?
Kuna mfano wake inaitwa the Messenger
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hivi bado ipo? Niliangalia season 1. Inahusu stori za malaika Gabriel na Michael.Hebu mazee hivi Dominion huwa mnaielewa inahusu nini?
Imeishia wapi sasaivi, niliangalia season moja tuNi mwendelezo wa Ile Movie inaitwa Legion....!
Mungu alichukia akaondoka Mbinguni basi Malaika wakapata hasira wakawavamia wanadamu kwamba wao ndiyo wamefanya Mungu ahame mbinguni. Sasa Gabriel ndiye aliwaongoza kuwafutilia mbali wanadamu......!
Ilitoka ya 5 na episode xake 10 tu mwaka jana 6 sijui itakuja liniPrison Break!?...si ilishatoka kitambo hadi ikaisha au season 7 unamaanisha?
.... MzunguVitu vingine havina hata mantik kwakweli..How come This..
Labda hawajazielewaSijaona mtu anazungumzia movie series za fast and furious [emoji109] [emoji109] [emoji106] [emoji106] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
hahh.. na copy ikaja kumuua!nilipenda idea jamaa kasambaza copy zake alafu yeye katulia.
Sparrow mjinga lakini ana akili sana akibananishwa!!...Baada ya kupata ujumbe wa salazar akawa mpolee[emoji23]Hata naye alibananishwa kwa akili sana [emoji23] [emoji23]
Me unazani hata niliimaliza maana nikaja ona duh!!..Haha LOST ni balaaa, inahitaji uvumilivu sana nilipoimaliza nilishukuru asee
season 5 ilikuwa ile Michael anakufa, season six ndio hii mpya mkuu!..Ilitoka ya 5 na episode xake 10 tu mwaka jana 6 sijui itakuja lini
FF hii hii ya vin diesel?..Sikujua ina series au unaiongelea hii muendelezoSijaona mtu anazungumzia movie series za fast and furious [emoji109] [emoji109] [emoji106] [emoji106] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
hahaa ile scene naikubali huwa nairudiarudia, alitakiwa afanye zikikutana na original zinaobey.hahh.. na copy ikaja kumuua!
Tatizo copy zilikuwa zinajua zimetoa copy kumbe nazo copy!!...Kwahyo kukutana na Original ikashindwa kukubali yenyewe nayo ni copy!!..hahaa ile scene naikubali huwa nairudiarudia, alitakiwa afanye zikikutana na original zinaobey.
popobawa mzungu.geeezzz Hugo ndio nani sasa ''""!!?
Ile wamesimamisha haikuendelea tena...Imeishia wapi sasaivi, niliangalia season moja tu
Hahaha hivi Catherine Weaver na Cromadi unawakumbuka ???Kumbe tupo wahenga wengi, vipi uliifatilia enzi hizo na Terminator: sarah connor chronicles?
Hivi flashpoint Paradox ndiye ile Flash alikimbia akaenda kwenye Alternative Verse ambayo Batman ni mzee na Clark Kent alikuwa amefungiwa na US Army na Red Hood yumo ?? Halafu kuna nyingine Super Man ndiye Villain anaongoza The Crime Syndicate.....Tafuta na DC au Marvel Animation za hizo movie ili uwaelewe muendelezo wake zaidi!!..Anza na Justice League flashpoint/Paradox.
Namkumbuka huyo catherine si ndio T1000 mwenyewe!.Hahaha hivi Catherine Weaver na Cromadi unawakumbuka ???