Movie Reviews

Movie Reviews

Ni mwendelezo wa Ile Movie inaitwa Legion....!
Mungu alichukia akaondoka Mbinguni basi Malaika wakapata hasira wakawavamia wanadamu kwamba wao ndiyo wamefanya Mungu ahame mbinguni. Sasa Gabriel ndiye aliwaongoza kuwafutilia mbali wanadamu......!
Imeishia wapi sasaivi, niliangalia season moja tu
 
Sijaona mtu anazungumzia movie series za fast and furious [emoji109] [emoji109] [emoji106] [emoji106] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
hahaa ile scene naikubali huwa nairudiarudia, alitakiwa afanye zikikutana na original zinaobey.
Tatizo copy zilikuwa zinajua zimetoa copy kumbe nazo copy!!...Kwahyo kukutana na Original ikashindwa kukubali yenyewe nayo ni copy!!..
 
Tafuta na DC au Marvel Animation za hizo movie ili uwaelewe muendelezo wake zaidi!!..Anza na Justice League flashpoint/Paradox.
Hivi flashpoint Paradox ndiye ile Flash alikimbia akaenda kwenye Alternative Verse ambayo Batman ni mzee na Clark Kent alikuwa amefungiwa na US Army na Red Hood yumo ?? Halafu kuna nyingine Super Man ndiye Villain anaongoza The Crime Syndicate.....
 
Back
Top Bottom