Movie Reviews

Movie Reviews

Mkuu bado...ila Mimi si sci-fi tu huwa nacheki all the good movies...
images.jpg

Tafuta hiyo [emoji115]
 
Dinyo Pale mwishoni ni meli za wazungu zinaanza kuingia America. mke wake anasema wazifuate ila yeye aligoma. John nahisi alifeki kifo ili arudi zake Mars kwa mpezi wake, nimesahau kidogo.
Wale gods wa Mars walikuwa wanamsaka.
Ndiyo akadanganya kifo ili apate ile teleportation device kitoka kwa wale gods.
 
Nimepitia hii list ikabidi niitafute Pitch Black. Nimeitazama lakini imekuwa chini ya matarajio yangu. Haikuwa nzuri saana.
Pitch Black 2 hujaipenda ??
Maana ziko tatu hizi movie ??
Ya pilo ndiyo Chronicles of Riddick nzuri sana.
 
Ni nzuri ila hazina reality yaani hazishawishi, kuanzia marvel comics pote labda black panther tu ila nyingine naona kama za kudanganya watoto mf Captain america winter soldier
Ndo hivyo mkuu...hazikufikirishi zaidi zinakudumaza tu.
 
Back
Top Bottom