Movie Reviews

Movie Reviews

Yeah mkuu nimeshaicheki hiyo, nilikua nasubiri hii Sky crapper tu!.. Ile rampage pale kwa yule fox uongo ulizidi
Ile anapaa kama kiruka njia? !! ila movie za mamonster huwa sizikubali sana. mpaka iwe na rate kubwa ndiyo nacheku.
 
Wick Naona mm walete Iron Man hafu Thanos ni mbaya sana kwakweli.
Iron man kashapigwa na Thanos ana jipya gani kutuletea tena🙂..
Darkseid kwangu naona ndio mtata zaidi maana macho yake tu yanatoa Laser beam inayoweza kata kona kukufata popote na ana control gravity ina maana ana paa bado hapigani saana huwa anatuma watoto wake eg Stepphenwolf yule villain kwenye justice league na akiwa anapigana akiinua mikono jua una kazi!.
Thanos yeye bila infinity gauntlet hata Iron man anaweza mpiga akijipanga (sahau kipigo cha hulk kidogo 🙂 )
 
Mimi ile ngumi ya shingo ndiyo iliniacha hoi, alipigwa moja akasinyaa akawa haamini amini hivi.
Aisee alipigwa kifuti kile cha uso, daaah hahahaahahaha. DC wameshashindwa hii vita kabisaaa!
Yani kuona Shazam wamempa deal comedian nishaona DC wameshindwa hapo tuisubiri Aquaman na Cyborg tu!..
Ila Darkseid namkubali Thanos kwa ile njemba anakaa 🙂
 
Hivi ile ni animation from scratch au wamegeuza watu kuwa cartoons?.. Naona unaweza kumuona mtu kabisa kwenye ile movie.
Kuna animations Zingine huwa wanatumia watu. Unakuta hata movement zao ni za watu kabisa. Kama Christmass Carol. ila hii naona kama wamechanganya. Waltz yuko so real.
 
Mzeee mimi nilikuwa naichukulia poa, nilivyoanza ya kwanza nikajikuta namaliza yote.
Yaani wametisha sana, wala hakuna utoto, Marvel nawapa saluti sana.
The Gifted Niliishia wale mapacha wamewatenganisha yule dogo wa kiume na familia yake.. Vipi iliendelea!?..
 
Whaaat ???
Aiseee, a movie worth watching.
Hivi unajua Terminator inafanyiwa Reboot na Cameroon ??
Wanaandeleza kwenye Terminator 2 na Linda Hamilton yupo.
Woyoooo!!... Kwahiyo mambo ya "Talk to the hand!" yatakuwepo!?.. au ni ile series wanaiendeleza!?
 
Woyoooo!!... Kwahiyo mambo ya "Talk to the hand!" yatakuwepo!?.. au ni ile series wanaiendeleza!?
Yani The Sarah Connor Chronicles, Rise of the machine, Terminator Genisys, Terminator Salvation kwishney
 
Iron man kashapigwa na Thanos ana jipya gani kutuletea tena🙂..
Darkseid kwangu naona ndio mtata zaidi maana macho yake tu yanatoa Laser beam inayoweza kata kona kukufata popote na ana control gravity ina maana ana paa bado hapigani saana huwa anatuma watoto wake eg Stepphenwolf yule villain kwenye justice league na akiwa anapigana akiinua mikono jua una kazi!.
Thanos yeye bila infinity gauntlet hata Iron man anaweza mpiga akijipanga (sahau kipigo cha hulk kidogo 🙂 )
Ila Thanos hata boxing atakuwa amecheza. Siyo kwa kipigo kile alichokula Hulk🙂🙂
 
Back
Top Bottom