Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Kuna kitabu cha Soviet and Secret Weapons of ww and cold war!.. Sijakisoma bado nitaangalia na aina gani zingineHivi unajua sikaha kama zile NAZIS na SOVIETS walitaka kuzitengeneza lakini walikuwa wanashindwa ???
Ila ingefanikiwa kukaa stable hiyo silaha ilikuwa bonge la strike, halafu wamepotray Bulgaria sio?