mercphason
Member
- Dec 27, 2013
- 60
- 41
unaweza jua jina lake?Dark Night I guess
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza jua jina lake?Dark Night I guess
unaweza jua jina lake?
Heath Ledger??Man nenda Dark Night cast kamuangalia jina lake Nmelisahau ni H... something
Heath Ledger??
Ice road nimeipenda idea, storyline iko nzuri sana ni kali na visual zake ziko stunning binafsi nimeielewa.
Na kuhusu mad max na hiyo ice road hawawez kuziweka pamoja timeline ni tofauti ile kule mad max ni post apocalyptic version ujue.
Tomorrow War kwa ambae hajaangia aangalie aisee hii Movie saa la kwanza tu unalizika yaani imeshiba contents, kwa hizi movie nyingine mediocre na saa la kwanza la movie hii utachagua hii movie.
Kuna makosa madogo tu ila otherwise ni movie kali nathubutu kusema zaid ya Fast 9 hata Black-Widow
After a long and patient wait, hatimaye F9 imetoka KWA quality ya Brip, nimeishusha KWA morali. Can't wait for snake eyes
Task Master wamembania sanaaaaa, Ila Kwa ule uwezo wake sio mchezo nimemkubali, she means business. I hope to see her katika movies zijazo za MCU. She is badass aisee.Black Widow 2021 my personal review
Spoiler Alert [emoji599]
Movie iko sawa ni worth watching kabisa si unajua Natasha is like this sexy..action goddess[emoji28]
Ila villain Task master ni Disappointment kabisa mwanzoni alianza na crazy stunts nkasema aisee leo nimefika baada ya hapo duh si akapoteana na yeye, I expected more vile uwezo wake ku mimic fighting moves nkajua atakuwa anapiga style zote yaani sema kajitahid kupiga kama Cap na black-panther lakin dah bado nlitegemea kuona kifinyo cha ajabu kutoka kwake, widow na red guardian turned out imekuwa just normal movie sio kiwango cha blockbuster.
Wamenivunja moyo aisee Widow na Fast &Furious wote wamechochora mwaka huu labda movie za MCU zijazo
I am rating it 7.5/10 [emoji294]️
Task Master wamembania sanaaaaa, Ila Kwa ule uwezo wake sio mchezo nimemkubali, she means business. I hope to see her katika movies zijazo za MCU. She is badass aisee.
View attachment 1875775
Respect.
alijaribu hii[emoji2][emoji2]I know she is..sema huko mbele kwenye movie nyingine wasimbanie sana si umeona ile first fight scene yake ya kwenye daraja na Nat yaani alikuwa ni balaa, ilibid aende na mwendo uleule nlitaman kuona actions nyingine akiwa kama Hawkeye za bow and arrows
alijaribu hii[emoji2][emoji2]View attachment 1875867
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tumia YTSMwenye link ya movie inayoitwa the bike thief anisaidie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app