Movie ya action steringi akiwa mwanamke huwa siangalii kabisa, mnaoziangalia mnawezaje ?

Movie ya action steringi akiwa mwanamke huwa siangalii kabisa, mnaoziangalia mnawezaje ?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
933
Reaction score
3,051
Muvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa.

Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
 
Mimi napenda wakiigiza wahindi steering hafi, akifa hufufuka mwishoni, kikikiki

Simba mwendapole iko gonjwa, vile vile ukiona watu wako kimyaa ujue kuna amani, (akili za CCM)

Ukiona ulinzi ni mkali kwa Jirani ujue usalama wako ni mdogo

Usipo Zina upa mwiji chungulia dani

Mtaka cha uvunguni iko inua matanda
 
mwenye zamu ya kununua luku, karudi na mshumaa.

Baba mwenye nyumba siku hizi hamfokei house girl

panya wa ikulu hakai ghetto la msela.

la kuambiwa hali tishi, subiri ufe uka hadithie
 
download.jpeg

Lucky seven je
 
Muvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa.

Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
Sio wote wengine tunapiga vizuri tu wanaume hasa sie wanawake wa mbeya, tunabeba mahindi debe tatu
 
Muvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa.

Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
Taja izo movie tuangalie inakuaje
 
Ukitaka kula vinono kaa karibu na mtaalamu wa kula vinono, (mwenye kisu kikali),

Usipo jua uendako fuata barabara ili upotee mazima

Kupata mtaji wa biashara wa laki 5 siyo rahisi ila kutatua tatizo la milioni 5 ni rahisi sana

Ukitaka kuongoza watanzania hakikisha wanakuwa mafala na masikini, (wawe tayari kupigwa marungu na kuvunjwa miguu na mikono)
 
Hata mimi mkuu, ni chache ambazo huwa kali hasa zile ambazo hazina mapigano sana au za kutumia silaha sana ila mkono kwa mkono ni kama huwa wanabebwa sana na sio wakakamavu ni midebwedo kinoma
 
Ukiona unaye mtawala hasa toka chama pinzani, anaanza kupata akili, (kurudisha akili kwenye mafuvu), hakikisha unafuga mambwa ya kijerumani ili akipiga kelelele yamshughulikie, hakuna kesi hapo

Ukitaka uishi bila stress usitongeze wanawake watakuwa wanakudownload, bila pilika pilka za kuchimba migodi unaishi maisha marefu
 
Muvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa.

Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
Mwana fasihi
 
Leo ilikuwepo Kix Dstv nikazima tv saiv nmelewa chakari.
Sivumiliagi ujinga mimii🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni kupigia debe ufeminia tu, lakini movie ya action steringi akiwa mwanamke inakosa uhalisia. Si ajabu kukuta Anjelina Jolie anamtembezea kichapo John Cena.

Hata hao wamerekani wenyewe ni kwenye movie tu ndo mwanamke anaenda kwenye mission za kijeshi lakini kwenye vita ya ukweli wakipeleka majeshi yao Afighanstan uko hawawezi kupeleka mwanamke kwenye battle field.
 
Back
Top Bottom