round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Sio wote wengine tunapiga vizuri tu wanaume hasa sie wanawake wa mbeya, tunabeba mahindi debe tatuMuvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa.
Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
Taja izo movie tuangalie inakuajeMuvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa.
Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
Dada zangu katika ubora wenu😄Sio wote wengine tunapiga vizuri tu wanaume hasa sie wanawake wa mbeya, tunabeba mahindi debe tatu
Mwana fasihiMuvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa.
Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15