Lakini ni muvi ya kwanza ya sci-fi tuna budi kuwapongeza na kuwapa moyo angalau wamethubutu.Tatizo kubwa ni movie nzima imeratibiwa na watu chini ya 10
Wakati ukienda kwa wenzetu ukurasa wa shukurani ni zaidi ya dakika 3
aliyesema hivi naniPendeni vya kwenu nyie? Mwanzo ni mgumu. Big up Azam.
Watu wanataka vitu vzr so wapige Kazi nzuri binafsi niliangalia kidogo nikaacha movie Giza mwanzo mwisho inachosha kuiangaliaHuko unako tolea mfano walianza bila makosa? yaani movie ya kwanza tena kutoka Africa unataka ilingane na watu walio kwenye industry kwa miaka zaidi ya 100?
MIMIaliyesema hivi nani
Shida ni yale matangazo yao wanaongeza chumvi zaid ya ile iliyokuwepo kwenye movie…..afu wangefanya bureee tu…sasa wao wanazunguka Tnz nzima kama kitu serious kumbee loool….wanatest mitamboNakumbuka wakati Azam anaanza kurusha mechi live it was so annoying .kwa sasa wamepata uzoefu na kidogo wanafanya vizuri.
Ngoja niwaambie hao Hollywood tunaowatazama leo na kuwaabudu they had plenty time of trial and error to present perfection.
Tatizo la wabongo kubwa ni kudharau vya kwao, na hii ni athari kubwa ya ukoloni.nawaambia hivi azam ndo wakwetu na first ever movie yenye taste ya sayansi fiction.
Wape muda,wape ushauri na wape nafasi watatushangaza
Hapo wa TZ tumepigwa..Shida ni yale matangazo yao wanaongeza chumvi zaid ya ile iliyokuwepo kwenye movie…..afu wangefanya bureee tu…sasa wao wanazunguka Tnz nzima kama kitu serious kumbee loool….wanatest mitambo
At least umeongea pointPendeni vya kwenu nyie? Mwanzo ni mgumu. Big up Azam.
Waswahili ujuaji mwingiNakumbuka wakati Azam anaanza kurusha mechi live it was so annoying .kwa sasa wamepata uzoefu na kidogo wanafanya vizuri.
Ngoja niwaambie hao Hollywood tunaowatazama leo na kuwaabudu they had plenty time of trial and error to present perfection.
Tatizo la wabongo kubwa ni kudharau vya kwao, na hii ni athari kubwa ya ukoloni.nawaambia hivi azam ndo wakwetu na first ever movie yenye taste ya sayansi fiction.
Wape muda,wape ushauri na wape nafasi watatushangaza
Mbona horror movies za wenzetu hamjawah kulalamika zina giza na unaweza kuta mwanzo mwisho n giza tuuNimeufufua huu uzi
Kiukweli movie imejaa Giza totoro
Huyu mtoto waliyemuweka kuigiza hajui
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoa Giza,hakuna chochote Cha maana Cha kutisha.Mbona horror movies za wenzetu hamjawah kulalamika zina giza na unaweza kuta mwanzo mwisho n giza tuu
Nipo hapa naangalia. Tuache unafiki, kwa level zetu hii movie wamejitahidi sana. Nadhani ikiwekwa budget kubwa wakakusanywa vijana wenye utaalamu wanaweza fanya kazi nzuri zaidi.
Ndio mapungufu mi mengi, kuanzia kwenye muonekano wa picha yani wameweka ukungu mwingi ili kublend cgi elements, kuficha baadhi ya makosa na kuleta ladha ya ufuturistic. Sauti pia haiko synchronized vizuri ila wamejitahidi sana
Nimeiangalia EONII jana usikuNipo hapa naangalia. Tuache unafiki, kwa level zetu hii movie wamejitahidi sana. Nadhani ikiwekwa budget kubwa wakakusanywa vijana wenye utaalamu wanaweza fanya kazi nzuri zaidi.
Ndio mapungufu mi mengi, kuanzia kwenye muonekano wa picha yani wameweka ukungu mwingi ili kublend cgi elements, kuficha baadhi ya makosa na kuleta ladha ya ufuturistic. Sauti pia haiko synchronized vizuri ila wamejitahidi sana
Umemaliza Kila kitu kakaNakumbuka wakati Azam anaanza kurusha mechi live it was so annoying .kwa sasa wamepata uzoefu na kidogo wanafanya vizuri.
Ngoja niwaambie hao Hollywood tunaowatazama leo na kuwaabudu they had plenty time of trial and error to present perfection.
Tatizo la wabongo kubwa ni kudharau vya kwao, na hii ni athari kubwa ya ukoloni.nawaambia hivi azam ndo wakwetu na first ever movie yenye taste ya sayansi fiction.
Wape muda,wape ushauri na wape nafasi watatushangaza
Wabongo hawapendi kudharau vya kwao, ila wanapenda kudharau vitu vibovuNakumbuka wakati Azam anaanza kurusha mechi live it was so annoying .kwa sasa wamepata uzoefu na kidogo wanafanya vizuri.