Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
mpaka uje kushtuka kuwa umepigwa ushanunua tayari.
Movie za bongo mwisho wa kununua zile unawekewa movie 5 kwa buku kwenye flash
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpaka uje kushtuka kuwa umepigwa ushanunua tayari.
Sawa ni scince fiction lakini theme inatakiwa iendane ya teknolojia husika. Movie umeingalia?Sasa si ndio maana ya science fiction mkuu au wewe ulitakaje?
✍️
wewe kama mjanja wapo wenzio kama mleta mada.majuto ni mjukuu.uja baada ya ningejuaaMovie za bongo mwisho wa kununua zile unawekewa movie 5 kwa buku kwenye flash
wewe kama mjanja wapo wenzio kama mleta mada.majuto ni mjukuu.uja baada ya ningejuaa
Mleta mada kwa kiasi fulani amejaribu kueleza mapungufu yaliyopo kwenye hio movie, ila wewe naona umejikita kwenye kukebehi na kukashifu kitu ambacho hakijengiHivi wewe muvi unaangalia kweli [emoji848][emoji848]
Nime support kuwa movie inaweza kuwa mbaya Kwa sababu imeprove hisia zangu tangu nilipoona ushuzi kwenye trailerMleta mada kwa kiasi fulani amejaribu kueleza mapungufu yaliyopo kwenye hio movie, ila wewe naona umejikita kwenye kukebehi na kukashifu kitu ambacho hakijengi
Kwa utoto ule bora nisiwe mzalendo tu.Pendeni vya kwenu nyie? Mwanzo ni mgumu. Big up Azam.
Kwa utoto ule bora nisiwe mzalendo tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa utoto ule bora nisiwe mzalendo tu.
Hapo tu kwenye kutumia neno ushuzi! Inaonesha character yako ilivyo. Inaonekana we ni mtu fulani mjivuni sana full kujiskiaNime support kuwa movie inaweza kuwa mbaya Kwa sababu imeprove hisia zangu tangu nilipoona ushuzi kwenye trailer
Movie sijaiona ila nilichokuwa napinga Mimi ni kitendo cha watu kutotaka movie ikosolewe. Ndio maana hujaona comment yangu inayosema "EONII ni mbaya kwa mtazamo wangu" Ila utaona ninaongelea movie ikiwa mbaya in general
Rudia kusoma ninayoyaandika kwa makini, Napinga suala la watu kutotaka movie hii ikosolewe.
Well, umeshaelewa point yangu, that's what matters.Hapo tu kwenye kutumia neno ushuzi! Inaonesha character yako ilivyo. Inaonekana we ni mtu fulani mjivuni sana full kujiskia
Kama haina uhalisia waanzie hapo. Mfano kwenye trela kama ilivyoshauriwa, hiyo kuwa na ist miaka mingi mbele ni kukosa uhalisia.Okay fine, mfano wewe ukiambiwa uonyeshe ni wapi wafanyie maboresho utawaambia waboreshe nini labda ?
✍️
Tengenezab yako..Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe.
Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional actors si hao waliowatumia.
Theme ya movie haieleweki, yani ni vurugu tu. Azam wajipange upya.