Movie ya EONII hakuna kitu

Movie ya EONII hakuna kitu

Watu tulisema hapa tukashambuliwa sana na Andrew Tate mpaka tukajiuliza tumemkosea nini huyu jamaa[emoji38][emoji38]
Mimi nilishaanza kuona ushuzi kwenye trailer,nilijua tu muvi itakuwa hovyo. Hizo milioni 473 wangeenda tu kusaidia masikini [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka hatarii
 
Nakumbuka wakati Azam anaanza kurusha mechi live it was so annoying .kwa sasa wamepata uzoefu na kidogo wanafanya vizuri.

Ngoja niwaambie hao Hollywood tunaowatazama leo na kuwaabudu they had plenty time of trial and error to present perfection.

Tatizo la wabongo kubwa ni kudharau vya kwao, na hii ni athari kubwa ya ukoloni.nawaambia hivi azam ndo wakwetu na first ever movie yenye taste ya sayansi fiction.

Wape muda,wape ushauri na wape nafasi watatushangaza
 
Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe.

Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional actors si hao waliowatumia.

Theme ya movie haieleweki, yani ni vurugu tu. Azam wajipange upya.
Wametumia nguvu nyingi nliona trail nikaona ni upuuzi mtupu

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka wakati Azam anaanza kurusha mechi live it was so annoying .kwa sasa wamepata uzoefu na kidogo wanafanya vizuri.

Ngoja niwaambie hao Hollywood tunaowatazama leo na kuwaabudu they had plenty time of trial and error to present perfection.

Tatizo la wabongo kubwa ni kudharau vya kwao, na hii ni athari kubwa ya ukoloni.nawaambia hivi azam ndo wakwetu na first ever movie yenye taste ya sayansi fiction.

Wape muda,wape ushauri na wape nafasi watatushangaza
Hawadharau
Wanakosoa penye mapungufu

Ndo support yenyewe hiyo
Hawawezi wakakosea halafu tuwashangilie eti kwa sababu tu ni movie ya nyumbani.
Penye ukweli ukweli usemwe.
 
Ukiangalia yale maroboti, magari, silaha ni vifaa vikubwa kulilo theme ya movie yenyewe. Yani script ipo simple lakini mavifaa yaliyotumika ni kama movie ya terminator ya Arnold Schwarzenegger
Sasa si ndio maana ya science fiction mkuu au wewe ulitakaje?
✍️
 
Hawadharau
Wanakosoa penye mapungufu

Ndo support yenyewe hiyo
Hawawezi wakakosea halafu tuwashangilie eti kwa sababu tu ni movie ya nyumbani.
Penye ukweli ukweli usemwe.
Okay fine, mfano wewe ukiambiwa uonyeshe ni wapi wafanyie maboresho utawaambia waboreshe nini labda ?
✍️
 
Back
Top Bottom