Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Huku JF sio kila mtu ni mtengeneza FILAMUTutengenzee ya kwako kama mfano
Kama mashabiki wasipoi judge hiyo movie mnataka nani atakaeikosoa?
Sifa za mwandishi wa kazi ya fasihi
*Anakubali kukosolewa
Hii sifa ndio wabongo wengi wanakosa. Hawataki kukosolewa