Movie ya EONII hakuna kitu

Movie ya EONII hakuna kitu

tOka tarehe nane mwezi wa saba nafatilia post zinazoichambua hii muvi nikawa sizioni hadi nikafikir labda walioiona hawapo mitandaoni

Toka jumatatu leo ndo nimekutana na huu uzi

kwangu mimi hata zile sci-fi za mbele ni chache sana ambazo huwa nazipenda,napenda sana muvi za mapenzi ndo zina ukweli zaidi
 
Hivi wewe muvi unaangalia kweli [emoji848][emoji848]
Mleta mada kwa kiasi fulani amejaribu kueleza mapungufu yaliyopo kwenye hio movie, ila wewe naona umejikita kwenye kukebehi na kukashifu kitu ambacho hakijengi
 
Toka nilipoona gari linageuka mtu na kukimbia,mara Kigari kingine kidogo dogo Passo inasubiri nikajua tu utoto tu humo ndani au wameandaa kwaajili ya wale ndugu zetu kanda ya ziwa wanaogonga maneno.
 
Mleta mada kwa kiasi fulani amejaribu kueleza mapungufu yaliyopo kwenye hio movie, ila wewe naona umejikita kwenye kukebehi na kukashifu kitu ambacho hakijengi
Nime support kuwa movie inaweza kuwa mbaya Kwa sababu imeprove hisia zangu tangu nilipoona ushuzi kwenye trailer
Movie sijaiona ila nilichokuwa napinga Mimi ni kitendo cha watu kutotaka movie ikosolewe. Ndio maana hujaona comment yangu inayosema "EONII ni mbaya kwa mtazamo wangu" Ila utaona ninaongelea movie ikiwa mbaya in general

Rudia kusoma ninayoyaandika kwa makini, Napinga suala la watu kutotaka movie hii ikosolewe. Kwa nini watu wanataka isikosolewe, EONII ina nini haswa mpaka watu wasiiponde. Kisa ni ya Tz???
 
Nime support kuwa movie inaweza kuwa mbaya Kwa sababu imeprove hisia zangu tangu nilipoona ushuzi kwenye trailer
Movie sijaiona ila nilichokuwa napinga Mimi ni kitendo cha watu kutotaka movie ikosolewe. Ndio maana hujaona comment yangu inayosema "EONII ni mbaya kwa mtazamo wangu" Ila utaona ninaongelea movie ikiwa mbaya in general

Rudia kusoma ninayoyaandika kwa makini, Napinga suala la watu kutotaka movie hii ikosolewe.
Hapo tu kwenye kutumia neno ushuzi! Inaonesha character yako ilivyo. Inaonekana we ni mtu fulani mjivuni sana full kujiskia
 
Hapo tu kwenye kutumia neno ushuzi! Inaonesha character yako ilivyo. Inaonekana we ni mtu fulani mjivuni sana full kujiskia
Well, umeshaelewa point yangu, that's what matters.
Huwezi kunipeleleza nilivyo kupitia comments za JF. Lile trailer kwangu nimeona ni ushuzi, kwanza lina giza utafikiri wamerekodi na simu
 
hii movie mi sijafinikiwa kuiona ila kwa nilivoona tangazo lao nikawa nahic kabisa humu shughuli hamna na ile IST yao😅😅alaf cjui kwa nn azam wanakuwa wanaipa movie fulani booooonge la promo lkn ukifanikiwa kuiangalia hamna kitu
 
Sijangalia hii Movie lakini Points zifuatazo zizingatiwe:-
1) Huwezi kumwambia mtu ana roho mbaya au mchawi au hapendi vya kwao wakati ametumia muda wake kuangalia kitu chako - Yaani kuangalia tu ni asante tosha na kama ameboreka ni either hio sio genre yake; hakuelewa somo au kitu chako ni kibaya na kama ni kibaya usiwe mkali rekebisha - flops huwa zinatokea

2) Huwezi kusema mwanzo mgumu kwahio kuwapa heko mara nyingine mwanzo ndio huwa muhimu sana ukiflop mwanzo huenda usipate second chance... niki-qoute wimbo wa Eminem

the moment You own it, you better never let it go You only get one shot, do not miss your chance to blow This opportunity comes once in a lifetime, yo.”

Kwahio ukiflop mwanzo huenda hawa unaowaita wachawi ambao ndio waangaliaji wa haya makitu huenda ukawapoteza

3) Computer Animated designs zinahitaji computing power ya kufa mtu; kufanya rendering ya photo-realistic inachukua muda kama hauna computing power na kama unatumia render farms za huku na kule that means pesa za kukodi computing power; that said kama kweli kuna giza na images sio HD kulikuwa hakuna sababu ya kuweka movie ndefu kwa kuanza na kuonyesha umahili wangefanya hata movie shorts za dakika 15 ni afadhali iwe fupi nzuri kuliko ndefu ambayo watu hawaangalii

4) Kama issue ilikuwa umahili wa kuonyesha CGI na sio umahili wa acting na plot nzuri basi wangefanya ikawa fupi kama issue ni story za kibongo na kuuza nje basi huenda wangefanya vitu close to home; hadithi ambazo zingevutia huku au kuwapa wa nje radha tofauti sababu kama unafanya kama transformers alivyofanya au Terminator (hapo hakuna originality)

5) Point ya kusem huku ndio tunaanza na tusijilinganisha na wengine sio point; ukiingia kwenye ulingo hakuna kujaribu bali ni kufanya na hii kitu budget na muda haukuwa mdogo; kwahio Hongera kwa Uongozi wa AZAM kwa kuweza ku-sponsor kitu kama hiki na lawama ziwaendee waliopewa hizo pesa kama walichotoa hakiridhishi...
 
Kwanza wewe mwenyewe haujiheshimu, ain't no way i am setting my eye on any SciFi movie made by Tanzanians. Ain't no fucking way.
 
Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe.

Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional actors si hao waliowatumia.

Theme ya movie haieleweki, yani ni vurugu tu. Azam wajipange upya.
Tengenezab yako..
 
Back
Top Bottom