Movie ya EONII hakuna kitu

Movie ya EONII hakuna kitu

Tatizo kubwa ni movie nzima imeratibiwa na watu chini ya 10

Wakati ukienda kwa wenzetu ukurasa wa shukurani ni zaidi ya dakika 3
Lakini ni muvi ya kwanza ya sci-fi tuna budi kuwapongeza na kuwapa moyo angalau wamethubutu.

Tuwakosoe ili next time wafanye vizuri zaidi
 
Huko unako tolea mfano walianza bila makosa? yaani movie ya kwanza tena kutoka Africa unataka ilingane na watu walio kwenye industry kwa miaka zaidi ya 100?
Watu wanataka vitu vzr so wapige Kazi nzuri binafsi niliangalia kidogo nikaacha movie Giza mwanzo mwisho inachosha kuiangalia
 
Nakumbuka wakati Azam anaanza kurusha mechi live it was so annoying .kwa sasa wamepata uzoefu na kidogo wanafanya vizuri.

Ngoja niwaambie hao Hollywood tunaowatazama leo na kuwaabudu they had plenty time of trial and error to present perfection.

Tatizo la wabongo kubwa ni kudharau vya kwao, na hii ni athari kubwa ya ukoloni.nawaambia hivi azam ndo wakwetu na first ever movie yenye taste ya sayansi fiction.

Wape muda,wape ushauri na wape nafasi watatushangaza
Shida ni yale matangazo yao wanaongeza chumvi zaid ya ile iliyokuwepo kwenye movie…..afu wangefanya bureee tu…sasa wao wanazunguka Tnz nzima kama kitu serious kumbee loool….wanatest mitambo
 
Hapo wa TZ tumepigwa..
 
Mimi jamani najaribu kucheki kwa app mbona nashindwa?
Inanikatalia, nani kafanikiwa ?
 
Nakumbuka wakati Azam anaanza kurusha mechi live it was so annoying .kwa sasa wamepata uzoefu na kidogo wanafanya vizuri.

Ngoja niwaambie hao Hollywood tunaowatazama leo na kuwaabudu they had plenty time of trial and error to present perfection.

Tatizo la wabongo kubwa ni kudharau vya kwao, na hii ni athari kubwa ya ukoloni.nawaambia hivi azam ndo wakwetu na first ever movie yenye taste ya sayansi fiction.

Wape muda,wape ushauri na wape nafasi watatushangaza
Waswahili ujuaji mwingi
 
Nipo hapa naangalia. Tuache unafiki, kwa level zetu hii movie wamejitahidi sana. Nadhani ikiwekwa budget kubwa wakakusanywa vijana wenye utaalamu wanaweza fanya kazi nzuri zaidi.

Ndio mapungufu mi mengi, kuanzia kwenye muonekano wa picha yani wameweka ukungu mwingi ili kublend cgi elements, kuficha baadhi ya makosa na kuleta ladha ya ufuturistic. Sauti pia haiko synchronized vizuri ila wamejitahidi sana
 
Walipoharibu zaidi ni story. Kuna vitu unaweza sema ni gharama sawa kama cgi, Light na vitu vingine.

Kuandika story nzuri hakuna u gharama ni talent tu.
The ending doesn't make sense. Imekuwa suprise. Plot holes kibao.

Wamejaribu kuweka Movie kuwa emotional but didn't work.
 
Nipo hapa naangalia. Tuache unafiki, kwa level zetu hii movie wamejitahidi sana. Nadhani ikiwekwa budget kubwa wakakusanywa vijana wenye utaalamu wanaweza fanya kazi nzuri zaidi.

Ndio mapungufu mi mengi, kuanzia kwenye muonekano wa picha yani wameweka ukungu mwingi ili kublend cgi elements, kuficha baadhi ya makosa na kuleta ladha ya ufuturistic. Sauti pia haiko synchronized vizuri ila wamejitahidi sana
Nimeiangalia EONII jana usiku
Ila kusema ukweli hata kwa level yetu, hii movie bado ni mbaya tu. Waigizaji ni kama tu wamechukuliwa kutoka mtaani na kulazimishwa kufanya kazi ambayo hawaiwezi
Ukiachana na giza, ukungu na teknolojia ndogo hata actors pia walikuwa hawajui wanachofanya. Yani maneno yenyewe ya kuyatamka inaonekana wamekaririshwa juu juu tu
 
Nakumbuka wakati Azam anaanza kurusha mechi live it was so annoying .kwa sasa wamepata uzoefu na kidogo wanafanya vizuri.

Ngoja niwaambie hao Hollywood tunaowatazama leo na kuwaabudu they had plenty time of trial and error to present perfection.

Tatizo la wabongo kubwa ni kudharau vya kwao, na hii ni athari kubwa ya ukoloni.nawaambia hivi azam ndo wakwetu na first ever movie yenye taste ya sayansi fiction.

Wape muda,wape ushauri na wape nafasi watatushangaza
Umemaliza Kila kitu kaka
 
Wabongo hawapendi kudharau vya kwao, ila wanapenda kudharau vitu vibovu
 
Back
Top Bottom