Movie ya Wonder Woman 1984

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Finally mwaka naumaliza vizuri kwa muvi safi. Nimeisubiria toka dec 2019 Hatimae imetoka 16 Dec 2020 wameipiga danadana sana loh. Kwa mwaka huu muvi ya Extraction bado ilikua inashika namba moja upande wangu kwa muvi zilizotoka
Si nyingine ni Wonder Woman 1984 played by Gal Gadot. It's worth watching kuanzia story, Action japo ni Scientific fiction kubwa zaidi muigizaji mwenyewe anavutia kumuangalia. Kwanza alikua miss Israel 2004 akashiriki hadi mashindano ya miss world. Usiishie kumuangalia haoo ukamtamani ni Ex Soldier, tena sio msoja wa kawaida tu alikua mkufunzi/Trainer wa jeshi la Israel (IDF)

Find it, Enjoy the Movie
View attachment 1654468
View attachment 1654469View attachment 1654471
 
Ngoja nidownload Kama ni mbaya utanirudishia mb zangu
Ebwana huwezi kuipata mpaka ifike tarehe 25 ambapo itakua imeachiliwa kwenye HBO MAX kwa sasa bado ni kwenye cinema tu. Kuna mtu aliniambia laat week kua katumiwa notification ya Coming soon kwenye acc yake ila mimi nikiSearch sioni. Itakua aliniingiza mjini maana DC Movies hawajaingia makubaliano na netflix
 
Kweli nimeitafuta bila mafanikio
Hapa na shusha movie inaitwa army of one na hiyo animation ya crood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…