Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Finally mwaka naumaliza vizuri kwa muvi safi. Nimeisubiria toka dec 2019 Hatimae imetoka 16 Dec 2020 wameipiga danadana sana loh. Kwa mwaka huu muvi ya Extraction bado ilikua inashika namba moja upande wangu kwa muvi zilizotoka
Si nyingine ni Wonder Woman 1984 played by Gal Gadot. It's worth watching kuanzia story, Action japo ni Scientific fiction kubwa zaidi muigizaji mwenyewe anavutia kumuangalia. Kwanza alikua miss Israel 2004 akashiriki hadi mashindano ya miss world. Usiishie kumuangalia haoo ukamtamani ni Ex Soldier, tena sio msoja wa kawaida tu alikua mkufunzi/Trainer wa jeshi la Israel (IDF)
Find it, Enjoy the Movie
View attachment 1654468
View attachment 1654469View attachment 1654471