Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Mimi kama mpenzi wa movie huwa sichagui genre. Naangalia zote kuanzia Action, Romance, Horror, Thriller, Drama za aina zote hadi za High School.
Huwa naangalia movie za USA (Hollywood) na za Kikorea. 99% ya movie ninazoangalia ni kutoka hizi nchi mbili
Licha ya kuwa genre zote naangalia, lakini my favorite ni Action & Animation
Sikuhizi nimekuwa mvivu wa kufuatilia movie za Action pamoja na Animation kitu kilichofanya nijisikie vibaya maana movie ndio entertainment ya maana ninayofuatilia (Huwa siangalii mpira)
Nilidhani nimepoteza interest na hizo genre kumbe si kweli, wiki hii ndio nimegundua sio kwamba nimepoteza interest ila ni kwamba hizi movie zimepungua vibe.
Movie nzuri za Action bado zinatoka mfano mwaka huu 2026 January nimeipenda The Wrecking Crewna mwaka jana nilizipenda sana Head of State na Ballerina
Lakini hizi movie za sikuhizi licha ya kuwa nzuri nikifananisha na za miaka 5 kurudi nyuma naona zimepungua vibe
Wiki hii niliamua kurudia kuangalia movie ambazo nilizipenda, mfano
Sonic The Hedgehog (2020)
Terminator 6: Dark Fate (2019)
Red Notice
The Night Comes for Us (2018)
Shang Chi & The Legend of Ten Rings (2021)
Train to Busan (2016) nk
cha kushangaza licha ya kuwa nazijua vizuri mwanzo mwisho ila nilikuwa naenjoy sana kuziangalia. Hizi movie ni nzuri hadi leo hata kama unazirudia
Especially hii Terminator 6 Dark Fate ambayo kwa upande wangu ndio movie ya action kali zaidi duniani tangu nianze kupenda movie
Mfano angalia scene hizi za Terminator 6, ni movie ya 2019 lakini ni enjoyable than most recent movies. Action scenes za humu ni mind-blowing 🔥
View: https://youtu.be/n97AzUB0DXI?si=puWOVhE35Kkm_277
Sio hivyo tu hata upande wa Animation nikifikiria animation kama
Coco (2016)
Moana (2017)
Luca (2021),Minions: Rise of Gru (2022) nk zilivyo nzuri natamani wangekuwa wanaendelea kutoa animation nzuri kama hizi hadi leo
Lakini sikuhizi naona ni kazi sana kupata animation kali kama hizi
Itoshe kusema movie za Action na Animation sikuhizi zimepungua vibe