Movie za action na Animation zimepungua vibe

Hukuipenda mission imposible (final reckoning), Fight or flight, Warfare,Novocaine za 2025 mwaka huu kuna the Rip
Mission Impossible Final Reckoning, Novocaine na Fight or Flight nilizipenda lakini Warfare sijaiangalia. Pia The Rip sijaangalia itabidi niangalie
Sema hizi ni movie nzuri ambazo zinaridhisha sana kuangalia lakini sio aina ya movie ambazo naweza kuzirudia hata mara 5. Kama Novocaine au Love Hurts ni movie nzuri sana sema nikiangalia siwezi kuzirudia mara ya pili

Tofauti na movie kama Heads of State (kwa upande wangu) ambayo naweza kuzirudia wala mara 2-3. Yani movie za action zinasatisfy kuangalia, lakini zipo zile ambazo zinaenda beyond that. Yani kuna movie zinakupa very high emotional satisfaction na nyingi huwa ni hizi za high budget ambazo naona wanazitoa chache sikuhizi
 
Nostalgia inakusumbua.
Wakubwa zako nao wanaona hizo uzipendazo siyo nzuri kama za wakati huo wao wakiwa vijana wadogo.
Bado napenda movie ila. Naendelea kuziangalia hadi leo na bado zipo mojamoja ambazo zinanigusa hadi ndani ya moyo kabisa
Sio kwamba naona movie za sasa hazina vibe mazima, hapana
 
Mission Impossible Final Reckoning, Novocaine na Fight or Flight nilizipenda lakini Warfare sijaiangalia. Pia The Rip sijaangalia itabidi niangalie
Sema hizi ni movie nzuri ambazo zinaridhisha sana kuangalia lakini sio aina ya movie ambazo naweza kuzirudia hata mara 5. Kama Novocaine au Love Hurts ni movie nzuri sana sema nikiangalia siwezi kuzirudia mara ya pili

Tofauti na movie kama Heads of State (kwa upande wangu) ambayo naweza kuzirudia wala mara 2-3. Yani movie za action zinasatisfy kuangalia, lakini zipo zile ambazo zinaenda beyond that. Yani kuna movie zinakupa very high emotional satisfaction na nyingi huwa ni hizi za high budget ambazo naona wanazitoa chache sikuhizi
kaingalie The rip ni nzuri sema haina action sana ila ni nzuri,
Heads of state sijawahi kuiona kabisa ina action nzuri mno au kwa kuwa ina comedy pia
 
Sio kweli, kukua hakuhusiani na kuenjoy movie. Mbona hizo movie za miaka ya nyuma nazirudia hadi leo na ninaenjoy sana kuziangalia
Za sikuhizi zimepungua vibe tu, leo nimerudia kuangalia Sonic The Hedgehog ya 2020, nime enjoy hadi nikatamani kuona movie zenye vibe kama hiyo ziendelee kutoka hadi hii 2026
Unaenjoy ile nostalgia tu. Mi mpenzi sana wa movies. Siku hizi nimekuwa mzito sana kuangalia na kuenjoy. Ukiangalia nyingi na umri ukienda unakuwa huoni kipya.
 
kaingalie The rip ni nzuri sema haina action sana ila ni nzuri,
Heads of state sijawahi kuiona kabisa ina action nzuri mno au kwa kuwa ina comedy pia
Nitaicheki hiyo The Rip.
Heads of State ni nzuri kwa sababu ya vyote, Action na Comedy. Ni kama Red Notice, iko vizuri sana
 
Nostalgia inakusumbua.
Wakubwa zako nao wanaona hizo uzipendazo siyo nzuri kama za wakati huo wao wakiwa vijana wadogo.
Uongo. Movie za siku hizi za kipuuzi.

Huwa nazirudia kuzitazama The Bridge on the River Kwai hii ni ya 1957 hata mzee hajazaliwa. Band of Brothers na We Were Soldiers za 2002. Saving Private Ryan ya 1998. Hizi zote ni war movies za maana na zote zimetoka sijaanza pre school nimekuja kuzitazama kuanzia sekondari. Hapo nina nostalgia gani.

Hakuna actors wenye consistency sasa hivi, ni directors tu wanamaliza kazi. Na hizo Korean drama ambazo sijawahi tazama kasoro Jumong pekee siku hizi zimeharibiwa na streaming service. Streaming provider anatoa budget fulani limited, cast iwe hivi, series ziwe hivi na season iwe hivi ili kuendana kibiashara. Directors baada ya kujazwa hela za streamer wao wanalenga kuishi kwenye target ili next deal wawe considered, watazamaji mpende au msipende mtajua wenyewe maana mwishowe mtalazimishwa kutazama tu. Hatimaye hakuna creativity films za Kikorea zote zinafanana.

Streaming provider anaamuru movie ya Yesu awepo actor shoga, movie ya Royal family ya karne ya 13 awepo black mwenye role kubwa jambo ambalo ni historically inaccurate. Unategemea ufanisi na ubora hapo.
 
Nitaicheki hiyo The Rip.
Heads of State ni nzuri kwa sababu ya vyote, Action na Comedy. Ni kama Red Notice, iko vizuri sana
Ila uko sawa movie za zamani zilikuwa nzuri mno miaka ya elfu mbili na kumi na ukinzingatia nyingi zikikuwa original sio siku hizi nyingi ni sequel, prequel, remarke na movie adaptation
 
Uongo. Movie za siku hizi za kipuuzi.

Huwa nazirudia kuzitazama The Bridge on the River Kwai hii ni ya 1957 hata mzee hajazaliwa. Band of Brothers na We Were Soldiers za 2002. Saving Private Ryan ya 1998. Hizi zote ni war movies za maana na zote zimetoka sijaanza pre school nimekuja kuzitazama kuanzia sekondari. Hapo nina nostalgia gani.

Hakuna actors wenye consistency sasa hivi, ni directors tu wanamaliza kazi. Na hizo Korean drama ambazo sijawahi tazama kasoro Jumong pekee siku hizi zimeharibiwa na streaming service. Streaming provider anatoa budget fulani limited, cast iwe hivi, series ziwe hivi na season iwe hivi ili kuendana kibiashara. Directors baada ya kujazwa hela za streamer wao wanalenga kuishi kwenye target ili next deal wawe considered, watazamaji mpende au msipende mtajua wenyewe maana mwishowe mtalazimishwa kutazama tu. Hatimaye hakuna creativity films za Kikorea zote zinafanana.

Streaming provider anaamuru movie ya Yesu awepo actor shoga, movie ya Royal family ya karne ya 13 awepo black mwenye role kubwa jambo ambalo ni historically inaccurate. Unategemea ufanisi na ubora hapo.
Wana lazimisha sana kuweka ajenda za feminist, woke na lgbtq hata kama hakuna umuhimu wa characters kuwa hivyo
 
Missing in action kwanza Steringi Chuck Norris movie nzima haliogi wala halibadilishi nguo.Ni mwendo wa mikwasa tu muvi nzima.Muvi za siku hizi steringi shoga muvi linaenda miezi 9 .Usenge mtupu.
 
Kuna mwanangu alikua hapendi sci-fi na action ila hiyo terminator aliielewa balaa. Haichoshi kabisa.

Zamani nilikua namaliza movie ila siku hizi movie moja naangalia hata wiki.
Hata mimi sio mpenzi sana wa Sci-fi japo naangalia mojamoja, ila Terminator 6 niliipenda sana
 
Back
Top Bottom