Movies kali za weekend hii (Session 06)

Movies kali za weekend hii (Session 06)

Mi niko tayari kutizama muvi yoyote ile{action,comedy,family,sci-fi,horror} ya hollywood ili mradi tu iwe imetengenezwa na kampuni za filamu kama warner browser,paramount,colombia,walt disnep,sony,20th century fox na netflix kidogo.
Hizi filamu zinazotengenezwa na kampuni ndogondogo huwa naziona zina utofauti kidogo sana na bongomuvi,nashindwa kabisa kutizama hadi mwisho.
 
SteveMollel Kwanza tunashukuru kwa kutuletea baada ya muda mrefu tulimiss Sana huwezi kuamini tokea Mara ya mwisho ulileta story na movie hapa jamvini sikuwahi kuangalia movie yoyote.kwenye hizo movie ulizozieleza hapo mzee nimezielewa hizi.

1.UNTRACEABLE
2.YOU SHOULD HAVE A LEFT
3.GHOSTS OF WAR
4.HIDE AND SEEK
5.FUNHOUSE
Innocent, najua tulipoteana kidogo kwenye hizi kazi. Mzigo huo hapo, kapambane mwenyewe.

Naleta mwingine weekend.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Innocent, najua tulipoteana kidogo kwenye hizi kazi. Mzigo huo hapo, kapambane mwenyewe.

Naleta mwingine weekend.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Asante mkuu unajua bila wewe wengine tunakuwa hatuna appetite ya kucheki movie,uzuri wa kucheki movie ni lazima uwe na uhakika wa movie unayoenda kuangalia Ni nzuri la sivyo unaweza kwenda kupoteza bando lako bure.
 
Ni kweli mzee, unaweza tazama movie ukakuta si taste yako pia, ukaishia laumu kwa kupoteza muda na bundle lako.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom