Movies kali za weekend hii (Session 06)

Na hiyo uliyoipakua mzee baba ndani inaitwa hivyohivyo Mulan?
ni kichina mwanzo mwisho kuanzia maandishi hadi maongezi, ila kuna msichana anaitwa jina (it sound like mulan)
 
Mi niko tayari kutizama muvi yoyote ile{action,comedy,family,sci-fi,horror} ya hollywood ili mradi tu iwe imetengenezwa na kampuni za filamu kama warner browser,paramount,colombia,walt disnep,sony,20th century fox na netflix kidogo.
Hizi filamu zinazotengenezwa na kampuni ndogondogo huwa naziona zina utofauti kidogo sana na bongomuvi,nashindwa kabisa kutizama hadi mwisho.
 
Innocent, najua tulipoteana kidogo kwenye hizi kazi. Mzigo huo hapo, kapambane mwenyewe.

Naleta mwingine weekend.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Innocent, najua tulipoteana kidogo kwenye hizi kazi. Mzigo huo hapo, kapambane mwenyewe.

Naleta mwingine weekend.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Asante mkuu unajua bila wewe wengine tunakuwa hatuna appetite ya kucheki movie,uzuri wa kucheki movie ni lazima uwe na uhakika wa movie unayoenda kuangalia Ni nzuri la sivyo unaweza kwenda kupoteza bando lako bure.
 
Ni kweli mzee, unaweza tazama movie ukakuta si taste yako pia, ukaishia laumu kwa kupoteza muda na bundle lako.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…