Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,349
- 6,423
Au Unga AduiMisukosuko
Au Unga AduiMisukosuko
JAribu kuwazingatia Waingereza series zao nzuri sanaMimi movie kama sio Hollywood, kuangalia ni kazi sanaa
Jack ryan sijaona kituHOMELAND, Tom Clancys Jack Ryan, 24
Fauda naisikia sikia tu....... Iko poa mkuu ?Fauda
Homeland
Sniper
Nzuri mno, akili ime tumika zaidi.Jack ryan sijaona kitu
Ngoja weekend hii nizitafuteAngalia series za kibabe mkuu
1: tulsa king
2: yellowstone
Hauta rudi nyuma kamwe🔥🔥
Tafuta iyo ndio utaelewa jinsi gani mossad wanafanya ops mbalimbali in Arabic countriesFauda naisikia sikia tu....... Iko poa mkuu ?
Hebu nishawishi niitafute
Mkuu naona tuna taste ya muvi/series inayofanana. Hizo ulizotaja hapo ndo mambo zangu kabisa, hapo ongeza Fatal Seduction.Ijumaa Kareem!
Kwa wapenzi wa action Movies series za kijasusi basi tafuta hizi kama haujawahi kuziona;
1. The Night Agent
2. The day of Jackal
3. London Gang
4. Mobland
5. King of Jo'burg
6. Unseen
7.
Kula vyuma hivyo alafu uje hapa! Zile mbili za juu ndio muvi za moja kwa moja za vitengo
🔥🔥Ngoja weekend hii nizitafute
Nipe moja chiefJAribu kuwazingatia Waingereza series zao nzuri sana
The Day of The Jackal ilikosa ladha mwishoni
MoblandNipe moja chief
Pamoja mkuuMobland
Shetland
Day of the Jackal
Mayor of Kingstown
If you have been full equipped you can take them out by bare hands.🤣🤣 kuna gari nyeusi iko full tinted naona inanifatilia toka mchana na mimi nimesahau kutembea na pistol leo.
Homeland ipo vizuri sana1. Homeland (series)
2. Salt (movie)