Movies na series Kali za Kijasusi: Chukua mbili hizi kisha shusha zingine

Movies na series Kali za Kijasusi: Chukua mbili hizi kisha shusha zingine

Zote hizo nimezicheki na ni movie kali
Mtoa mada bado ni mchache kwenye ulimwengu wa movie na series za ujasusi

1 Fauda
2 24
3 24 legacy
4 Homeland
5. The Agency ( kama unataka ma bunduki hii haikufai ina deal na CIA surveillance)
6 Treadstone ( hii imeguswa kwanzia movie za Jason bourne zote 4)
7 Condor season 1 namba 2 walizingua
8 Tom Clancy's jack Ryan
 
Tafuta iyo ndio utaelewa jinsi gani mossad wanafanya ops mbalimbali in Arabic countries

Humo unaona Hamas na mossad wanavyo windana kila siku
Hapo aongezee na series inaenda kwa jina la Tehran, zipo season 3.
 

Attachments

  • Screenshot_20250905_201941_Chrome.jpg
    Screenshot_20250905_201941_Chrome.jpg
    283 KB · Views: 37
Ipi kali zaidi kwa upande wako?
Mm naenda na Mobland
Mobland mkuu,kuna kipande nirecord hapo yule dogo alikuwa anajitapa kamla mtoto wa Harris...akampa maneno ya busara na vitisho vya rohoni😂😂😂
 

Attachments

  • Screen_Recording_20250706_195622.mp4
    41.3 MB
Ijumaa Kareem!

Kwa wapenzi wa action Movies series za kijasusi basi tafuta hizi kama haujawahi kuziona;

1. The Night Agent
2. The day of Jackal
3. London Gang
4. Mobland
5. King of Jo'burg
6. Unseen
7.

Kula vyuma hivyo alafu uje hapa! Zile mbili za juu ndio muvi za moja kwa moja za vitengo
Hapo za kijasusi ni hizo mbili za mwanzo nyingine ni crime series. Kuhusu uzuri, The Night Agent, Day of The Jackal, London Gangs na Mobland ni nzuri. Unseen ya kawaida, Kings of J' burg is trash.
 
Back
Top Bottom