nimeicheki hii movie sijaona ujasiriamali sana. maana ule utajiri ni kama alirithi. pia alikuwa na maisha yasiyo na furaha.Citizen Kane ni classic ya 1941..Lakini ina story kali ya tycoon wa newspapers..isitoshe ni kati ya movie kali zilizowahi kutokea katika historia ya filamu.ni movie ya 1941 but very watchable...Na kwa sisi watu wa sports Jerry Maguire na Moneyball zinatoa idea nyingi sana
nimeicheki hii movie sijaona ujasiriamali sana. maana ule utajiri ni kama alirithi. pia alikuwa na maisha yasiyo na furaha.
ni kweli kabisa. harafu hiyo the great Gatsby ilinishinda kuangalia, itabidi niitafute tena.Ilitoa lesson nzuri kwamba hata uwe na kiasi gani cha power & wealth kupata happiness ni kitu kingine kabisa...Ni kama story ya Bwana Gatsby
ni kweli kabisa. harafu hiyo the great Gatsby ilinishinda kuangalia, itabidi niitafute tena.
Great Gatsby Bonge LA movie..
Di caprio huwa hakosei
kumbe baba yake Kennedy naye alimake kipindi cha prohibition?Kweli kabisa..Gatsby alijifunza ku behave kama rich people kutoka kwa mentor wake aliyekua billionaire..
Lakini alikua ni bootlegger(muuza pombe haramu) kama Al capone or Baba yake John Kennedy.
Di caprio ndo pure enterpreneur actor..Catch me if you can, The Aviator, Gatsby, Wolf of wall street zote zinahusu mambo ya kutoboa katika life
kumbe baba yake Kennedy naye alimake kipindi cha prohibition?
kuna documentary series moja inaitwa the men who built America. hii naweza sema ni must see kwa mjasiriamali. inazungumzia wakina rockafeller, jp morgan, Carnergie na wajasiriamalli wengine walioibadilisha marekani. zipo episodes nane.
Kuna
1.Boiler Room:2000
2.The Shadow Government
3.How The Economic Machine Works
4.The Mafia Meyer Lansky Mob Tycoon
5.The House of Rothchilds-Money's Prophets
6.Frontline-Black Money
7.King of New York
8.End of Road-How Money Become Worthless
9.The Ultimate Business Guru
10.The New Rules of The World
Pia check The Untouchables 1993 series
kuna documentary series moja inaitwa the men who built America. hii naweza sema ni must see kwa mjasiriamali. inazungumzia wakina rockafeller, jp morgan, Carnergie na wajasiriamalli wengine walioibadilisha marekani. zipo episodes nane.