Movies zinazoweza kuku-inspire Mjasiriamali

Movies zinazoweza kuku-inspire Mjasiriamali

The god father! Hii movie though ni ya ki mafia but INA inspiration sana! Vito Corleone alikua yatima but at the end he become king of under world activities
 
Vito Corleone alikua ni immigrant kutoka Sicily..akaanza mishe za mtaani za hapa na pale hadi kumiliki kampuni ya Olive oil.. Mwisho wa siku akawa na bonge moja la Conglomorate iliyo include gambling, real estate etc..The Godfather.
 
Citizen Kane ni classic ya 1941..Lakini ina story kali ya tycoon wa newspapers..isitoshe ni kati ya movie kali zilizowahi kutokea katika historia ya filamu.ni movie ya 1941 but very watchable...Na kwa sisi watu wa sports Jerry Maguire na Moneyball zinatoa idea nyingi sana
 
nimeicheki hii movie sijaona ujasiriamali sana. maana ule utajiri ni kama alirithi. pia alikuwa na maisha yasiyo na furaha.
 
nimeicheki hii movie sijaona ujasiriamali sana. maana ule utajiri ni kama alirithi. pia alikuwa na maisha yasiyo na furaha.

Ilitoa lesson nzuri kwamba hata uwe na kiasi gani cha power & wealth kupata happiness ni kitu kingine kabisa...Ni kama story ya Bwana Gatsby
 
Ilitoa lesson nzuri kwamba hata uwe na kiasi gani cha power & wealth kupata happiness ni kitu kingine kabisa...Ni kama story ya Bwana Gatsby
ni kweli kabisa. harafu hiyo the great Gatsby ilinishinda kuangalia, itabidi niitafute tena.
 
Great Gatsby Bonge LA movie..
Di caprio huwa hakosei

Kweli kabisa..Gatsby alijifunza ku behave kama rich people kutoka kwa mentor wake aliyekua billionaire..

Lakini alikua ni bootlegger(muuza pombe haramu) kama Al capone or Baba yake John Kennedy.

Di caprio ndo pure enterpreneur actor..Catch me if you can, The Aviator, Gatsby, Wolf of wall street zote zinahusu mambo ya kutoboa katika life
 
kumbe baba yake Kennedy naye alimake kipindi cha prohibition?
 
thousand-300x225.jpg

You Can Make It If U Traaa Haaaaaaaaa Yeah
 
kuna documentary series moja inaitwa the men who built America. hii naweza sema ni must see kwa mjasiriamali. inazungumzia wakina rockafeller, jp morgan, Carnergie na wajasiriamalli wengine walioibadilisha marekani. zipo episodes nane.
 
kumbe baba yake Kennedy naye alimake kipindi cha prohibition?

Kuna evidence kadhaa..Mob boss Frank Costello ali claim kwamba Kennedy senior alikua partner wake mkubwa katika issue ya ku smuggle the finest whisky..

Na pia wenzake wa Havard wanasema yeye ndo alikua pusher mkubwa wa mvinyo kwenye sherehe zote za alumnis..

Alikua smart fellow lakini.
 
kuna documentary series moja inaitwa the men who built America. hii naweza sema ni must see kwa mjasiriamali. inazungumzia wakina rockafeller, jp morgan, Carnergie na wajasiriamalli wengine walioibadilisha marekani. zipo episodes nane.

Hii ni must see kwa kila mtu..HIGHLY RECOMENDED...pia kuna Vanderbilt, jasusi Henry Frick na mtaalam Tom Edison
 
Kuna

1.Boiler Room:2000
2.The Shadow Government
3.How The Economic Machine Works
4.The Mafia Meyer Lansky Mob Tycoon
5.The House of Rothchilds-Money's Prophets
6.Frontline-Black Money
7.King of New York
8.End of Road-How Money Become Worthless
9.The Ultimate Business Guru
10.The New Rules of The World

Pia check The Untouchables 1993 series

Ongeza
Trading places ya Eddie Murphy
 
kuna documentary series moja inaitwa the men who built America. hii naweza sema ni must see kwa mjasiriamali. inazungumzia wakina rockafeller, jp morgan, Carnergie na wajasiriamalli wengine walioibadilisha marekani. zipo episodes nane.

I dont need to say more.. hii ndio best so far
 
pia kuna series inaitwa Breaking Bad. ni moja ya series zinafikiriwa kuwa bora kabisa kutengenezwa. jamaa alipata kansa akaamua kutengeneza madawa ya kulevya ili kuachia familia chochote. nimejifunza kuwa makini kwenye kuchagua patners.
 
Joy 2015 - Jennifer Lawrence, De niro na Bradley Cooper. ni story nzuri ya mjasiriamali.
 
a most violent year 2014. jamaa anapambana kununua matank ya kuhifadhia mafuta huku wezi wa mafuta wakimsakama.
 
Top 10 zangu ni hizi

1. Wallstreet (1987)
2. The wolf of Wall street (2014) MUST WATCH
3. Glengarry Glen Ross (1991) MUST WATCH
4. Pursuit of happiness (2006)
5. Blow (2001) MUST WATCH
6. Boiler Room (2001) MUST WATCH
7. Wallstreet: Money never sleeps (2009)
8. The Godfather triology
9. 127 hours: between a rock and hard place (2010) MUST WATCH
10. Catch me if you can (2002)

Hii movie 127 hours (2010) ni true story haihusiani na biashara lakini ni movie ambayo inamfanya mtazamaji aone kwamba hamna kitu kisichowezekana kwenye maisha..
 
Back
Top Bottom