Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi hizi za kina Wemer Sepengest?Mwaka huu mwishoni nitatengeneza video nyingi za kuelimisha nitaziweka YouTube watu waone
Mwaka huu mwishoni nitatengeneza video nyingi za kuelimisha nitaziweka YouTube watu waone
List yako safi sana mkuu. Hapo nmecheki Boiler room, peke yake.. izo zingine itabd nzifanyie kaziKuna
1.Boiler Room:2000
2.The Shadow Government
3.How The Economic Machine Works
4.The Mafia Meyer Lansky Mob Tycoon
5.The House of Rothchilds-Money's Prophets
6.Frontline-Black Money
7.King of New York
8.End of Road-How Money Become Worthless
9.The Ultimate Business Guru
10.The New Rules of The World
Pia check The Untouchables 1993 series
Great Gatsby is a great movie. Lakini ukisoma na kitabu chake ndo utapata picha nzima. Bonge moja la storyni kweli kabisa. harafu hiyo the great Gatsby ilinishinda kuangalia, itabidi niitafute tena.
Huyu jamaa ukiangalia movie zake lazima ufrai. ana sura flani ivi innocent boy lakin bonge la con man!!! na nyingi zinakua based on true storiesKweli kabisa..Gatsby alijifunza ku behave kama rich people kutoka kwa mentor wake aliyekua billionaire..
Lakini alikua ni bootlegger(muuza pombe haramu) kama Al capone or Baba yake John Kennedy.
Di caprio ndo pure enterpreneur actor..Catch me if you can, The Aviator, Gatsby, Wolf of wall street zote zinahusu mambo ya kutoboa katika life
I agree. One of the greatest! Actually, the director alitaka kuonesha how a 'Mr. Chips' can turn into ' 'scarface' like the movie. jamaa is 50 midlife crisis maisha ya kawaida. akaturn into the most wanted man in America making the finest Meth ever! in the process aliua watu alivunja sheria nyingi... that was the theme ya director.pia kuna series inaitwa Breaking Bad. ni moja ya series zinafikiriwa kuwa bora kabisa kutengenezwa. jamaa alipata kansa akaamua kutengeneza madawa ya kulevya ili kuachia familia chochote. nimejifunza kuwa makini kwenye kuchagua patners.
NIGHT CRAWLER .1. The persuit of happyness: Movie ya will smith, ni nzuri kuona jinsi jamaa anapambana na vikwazo.
2. There will be blood: Daniel Day-lewis, naipenda sana hii movie. Jamaa alikuwa anachimba na mikono hadi alikuja kuwa tajiri, ilimpa oscar jamaa.
3. Wall street ya 1987: Michael douglas, humu unajifunza nguvu ya information kwenye biashara, jamaa anaigiza vizuri sana.
4. Kids Cannabis: Jamaa walikuwa wanatoa bangi Canada kwenda US, walijipanga sana.
5.Wolves of wall street: Di caprio na jonah hill, rough nyingi ila kuna elimu ndani yake.
6.The aviator: Di caprio na Cate Blanchett, jamaa alikuwa creative sana sema alikuwa daredevil.
Nyakati nyingine movie nazo husaidia kwenye kuelewa mambo.
Hebu nichek niongezee siku1. The persuit of happyness: Movie ya will smith, ni nzuri kuona jinsi jamaa anapambana na vikwazo.