Movies zinazoweza kuku-inspire Mjasiriamali

Movies zinazoweza kuku-inspire Mjasiriamali

Great Gatsby movie naipataje nataka link niweze kuipakua
 
war dogs: vijana wadogo wanamua kuwa gunrunners
rWceiO.png
 
The Big Trail. ''Me? Turn back because of a little mud?''
1209870835_2.jpg
 
Kuna

1.Boiler Room:2000
2.The Shadow Government
3.How The Economic Machine Works
4.The Mafia Meyer Lansky Mob Tycoon
5.The House of Rothchilds-Money's Prophets
6.Frontline-Black Money
7.King of New York
8.End of Road-How Money Become Worthless
9.The Ultimate Business Guru
10.The New Rules of The World

Pia check The Untouchables 1993 series
List yako safi sana mkuu. Hapo nmecheki Boiler room, peke yake.. izo zingine itabd nzifanyie kazi
 
Kweli kabisa..Gatsby alijifunza ku behave kama rich people kutoka kwa mentor wake aliyekua billionaire..

Lakini alikua ni bootlegger(muuza pombe haramu) kama Al capone or Baba yake John Kennedy.

Di caprio ndo pure enterpreneur actor..Catch me if you can, The Aviator, Gatsby, Wolf of wall street zote zinahusu mambo ya kutoboa katika life
Huyu jamaa ukiangalia movie zake lazima ufrai. ana sura flani ivi innocent boy lakin bonge la con man!!! na nyingi zinakua based on true stories
 
pia kuna series inaitwa Breaking Bad. ni moja ya series zinafikiriwa kuwa bora kabisa kutengenezwa. jamaa alipata kansa akaamua kutengeneza madawa ya kulevya ili kuachia familia chochote. nimejifunza kuwa makini kwenye kuchagua patners.
I agree. One of the greatest! Actually, the director alitaka kuonesha how a 'Mr. Chips' can turn into ' 'scarface' like the movie. jamaa is 50 midlife crisis maisha ya kawaida. akaturn into the most wanted man in America making the finest Meth ever! in the process aliua watu alivunja sheria nyingi... that was the theme ya director.
 
"night crawler".
... ni movie bomba sana
 
1. The persuit of happyness: Movie ya will smith, ni nzuri kuona jinsi jamaa anapambana na vikwazo.

2. There will be blood: Daniel Day-lewis, naipenda sana hii movie. Jamaa alikuwa anachimba na mikono hadi alikuja kuwa tajiri, ilimpa oscar jamaa.

3. Wall street ya 1987: Michael douglas, humu unajifunza nguvu ya information kwenye biashara, jamaa anaigiza vizuri sana.

4. Kids Cannabis: Jamaa walikuwa wanatoa bangi Canada kwenda US, walijipanga sana.

5.Wolves of wall street: Di caprio na jonah hill, rough nyingi ila kuna elimu ndani yake.

6.The aviator: Di caprio na Cate Blanchett, jamaa alikuwa creative sana sema alikuwa daredevil.

Nyakati nyingine movie nazo husaidia kwenye kuelewa mambo.
NIGHT CRAWLER .

STARLING*-Jake Gyllenhaal

A MAN survives by scavenging and petty theft. He stumbles into a new career as a cameraman and -- armed with a camcorder and police scanner -- begins nocturnal forays across the city in search of shocking and grisly crimes. When he catches the eye of a shopworn news director (Rene Russo) who welcomes the chance to raise her station's ratings, Louis goes to increasingly greater lengths to catch the "money shot.
 
The founder. hii ni bonge la movie kwa mjasiriamali. inahusu jamaa aliyefanya Migahawa ya MacDonald's kuwa ilivyo leo. hii movie ina kila somo linalohitajiwa na mjasiriamali.

upload_2017-4-17_16-14-0.jpeg
 
1. The persuit of happyness: Movie ya will smith, ni nzuri kuona jinsi jamaa anapambana na vikwazo.

2. There will be blood: Daniel Day-lewis, naipenda sana hii movie. Jamaa alikuwa anachimba na mikono hadi alikuja kuwa tajiri, ilimpa oscar jamaa.

3. Wall street ya 1987: Michael douglas, humu unajifunza nguvu ya information kwenye biashara, jamaa anaigiza vizuri sana.

4. Kids Cannabis: Jamaa walikuwa wanatoa bangi Canada kwenda US, walijipanga sana.

5.Wolves of wall street: Di caprio na jonah hill, rough nyingi ila kuna elimu ndani yake.

6.The aviator: Di caprio na Cate Blanchett, jamaa alikuwa creative sana sema alikuwa daredevil.

Nyakati nyingine movie nazo husaidia kwenye kuelewa mambo.
Hebu nichek niongezee siku
 
Back
Top Bottom