Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
1. The persuit of happyness: Movie ya will smith, ni nzuri kuona jinsi jamaa anapambana na vikwazo.
2. There will be blood: Daniel Day-lewis, naipenda sana hii movie. Jamaa alikuwa anachimba na mikono hadi alikuja kuwa tajiri, ilimpa oscar jamaa.
3. Wall street ya 1987: Michael douglas, humu unajifunza nguvu ya information kwenye biashara, jamaa anaigiza vizuri sana.
4. Kids Cannabis: Jamaa walikuwa wanatoa bangi Canada kwenda US, walijipanga sana.
5.Wolves of wall street: Di caprio na jonah hill, rough nyingi ila kuna elimu ndani yake.
6.The aviator: Di caprio na Cate Blanchett, jamaa alikuwa creative sana sema alikuwa daredevil.
Nyakati nyingine movie nazo husaidia kwenye kuelewa mambo.