mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Tuache unafki....marehemu snasemwa kivyovyote vileMarehemu asemewi mabayaaa.....mazuri tu sasa ww unapata wapi ujasiri wa kuelezea mabaya ya marehemu kabla hajazikwa.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache unafki....marehemu snasemwa kivyovyote vileMarehemu asemewi mabayaaa.....mazuri tu sasa ww unapata wapi ujasiri wa kuelezea mabaya ya marehemu kabla hajazikwa.
Mmmhh!kisura chake kwa mbali kama snoopy dog..Any way mbele yake nyuma yetu.
Alikuwa na sauti ya ajabu sana.unaweza ukawa mpole na bado ukachukiwa.Aliwezaje kupendwa na ukorofi wote huo!?
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji1] [emoji1]Said 42+
NimekusomaKale ka inshu ka kubwia ngada naona umekasahau mshana jr, ukiwa hata umelewa kwa kilevi kimoja kama mimi wa charlz glass, yasingetokea haya, ngada zilikuwa zimkolea high zaidi ya hi5! Na ile kutaka anyenyekewe as vip wakati club wote ni flat-rate!
Hili ndo tatizo kubwa kwa kijana wangu RIP. HUYU DOGO ALIKUA ANAVUTA BANGI KILO NA ½ PER WEEKKale ka inshu ka kubwia ngada naona umekasahau mshana jr, ukiwa hata umelewa kwa kilevi kimoja kama mimi wa charlz glass, yasingetokea haya, ngada zilikuwa zimkolea high zaidi ya hi5! Na ile kutaka anyenyekewe as vip wakati club wote ni flat-rate!
Ndio inavyokuwaga Mungu awatie nguvu tu hao mademu kama nawaonaHalafu mademu walikuwa wanampenda sana
Ningejua mapema ningemuomba Babu Tale ama Salam awe manager wakeBila kuwa na Meneja makini hata kama unakipaji cha namna gani huwezi fika mbali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! R.I.P MOWZERY.