Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani najikuta nakupendaga bure tu, nadhani ukinisaidia contact yako kwa pm,itapendeza!Radio alikuwa na kipaji
Pumzika kwa amani
Daaah... Umenikumbusha Danz Kumapeesa... Magged and Died at 22yrs. Produced Mbozi za malwa ya bebe cool na Sauti sol..Jamaa kifo alikitafuta mwenyewe hapo bar,kamkejeli meneja hana uwezo wa kumnunulia black bottle belaire,meneja kwa hasira akamnunulia,yeye kaifungua kamwagia mteja wa watu aliyekuwa anaenjoy kivyake,bouncers kujaribu kutuliza hali nao wanaambulia matusi,kwa kifupi anajulikana kwa matukio ya ugomvi na dharau..chini ni habari ya radio host kasuku aliyoongea radioni last year baada ya jamaa kutupa laptop ya dj kwenye swimming pool,alimuambia ya kwamba asipojirekebisha kuna siku atapigwa na kupasuka kichwa na kufa...
Dembe FM’s Kuku Wazabanga aka Kasuku is well known for always talking trash/ill about celebrities and musicians especially when he talked about how Eddy Kenzo hired goons to beat up the late Danz Kumapeesa and at this moment he prophesized about Radio’s death.
A few months ago, last year after the death of city tycoon Ivan Semwanga, Kasuku went on a live radio show on Dembe FM which airs every morning, Radio threw a DJ’s laptop into the swimming pool and Kasuku said that if Radio doesn’t stop his violence, he will be beaten and his head will be shattered to death.
While on a live radio show, Kasuku asked the listeners to pull out their recorders and record the show, now what he said is exactly what happened, Radio got into a fight, got beaten u badly with his head shattered and now he’s dead.
” Kyokka Ugandans…. Mbalaba munjasamira but u will all b fine. Rest in peace Moses Ki Radiology.” Kasuku said in his defence.
source: VIDEO: Kasuku Prophesized that Radio Will be Beaten and his Head Shattered to Death — Blizz Uganda
Jamaa alianza serious music 2005 kwa wimbo wa nakudata, na kiswahili chake nilikua ni kuchomekea chomekea... Such a talentWabongo wengi hawamjui radio , hila mshikaji alikuwa very very talented, nimemjua toka 2009 ,tatizo halikuwa haimbi sana kiswahili
Jina la Cartoon and baboon ilikua dis kutoka kwa bebe cool... Nao wakaikubali ( cartoon, baboon never accept to drown - weasle ma nizo kwenye wimbo wa Ability)Cartoon and baboon hio combination iache mzee baba hakuna kubeba ile ni perfect combo
Ana kipaji kuzidi DIAMOND PLATNUMZ au RAYVANNY [emoji23] [emoji13] [emoji119] [emoji119]Jamaa alianza serious music 2005 kwa wimbo wa nakudata, na kiswahili chake nilikua ni kuchomekea chomekea... Such a talent
Yiyiyiyiiiiiii.... Hio avatar yako.. Hakki umenibambaAna kipaji kuzidi DIAMOND PLATNUMZ au RAYVANNY [emoji23] [emoji13] [emoji119] [emoji119]