Mowzey Radio tunamlilia, lakini je tunayafahamu haya?

Mowzey Radio tunamlilia, lakini je tunayafahamu haya?

Pumzika kwa Amani Radio lkn wengi tujifunze kupitia kifo cha mwenzetu kuwa jeuri haitakiwi au majivuno kisa tu we superstar ona sasa imegharim uhai wake .
 
ni vema kutambua nafasi ztu kwenye jamii huyo ni mwana muziki lakini wengne ni kina sisi hatupendi kujenga mahusiano mazuri na watu kila muda tunataka tusiilizwe sisi tu na tutoe wazo na ushauri wa mwisho na sio kutoa nafasi kwa wenzetu...utakuta mtu ana kielimu kidogo tu cha bachelor lakini mmmhhh mtaa mzima watajua kwa kujigamba kwake na kujisifu.......nilishakwendaga bank ya crdb kibo complex kuna mwananchi wa kawaida alikuwa anapokea taarifa zake za mkopo kutoka kwa front officer mmoja wa kiume,basi yule mwanachi akamsifia kwamba ww umesoma sana bwana kwakuwa nilikuwa jirani nikamwambia ww mwananchi hakuna kipya hapo hamna chchte alichosema ukaona kashusha kutoka mbinguni ndo akanielewa yule mwananchi lakini yule front officer alifurahi sana kupewa sifa..kumbe swala lilikuwa dogo tu
 
kama umeshawahi kupita maofisini huko na kukuta unayekwenda kuongea nae ni mdada alipata cheo kazini hapo ndo utaelewa tunachozungumzia hapa maana dada zetu utadhani kaambiwa ukifa utaondoka na cheo hicho
 
Maskini mozey daah sikuona hii video yani karushwa kama mbwa maranyingi watu wakilewa akili kidogo zinabebwa na kilevi angemchukulia poa tu kwani alikua na silaha kumjeruhi mtu daah! Hajui kaumiza watu wangapi waliokua wanamtegemea mozey
huyu baunsa hana maadili ya kazi anajua club watu wanakunywa pombe wanalewa na ndio sehemu ya mshahara wake unapotoka hakika kwa kitendo na yeye kamba ipite shingoni analeta mambo ya wwe mieleka club maskini mozey
Rest in eternal peace[emoji120]
 
eti ulevi, uzinzi, ubabe hauna mwisho mwema kwani ukiwa mpole, sio mlevi wala mzinzi hautakufa

marehemu alikuwa sawa, aliishi maisha yake kadri alivyo pendezwa.

kama sisi tulivyo tumia muda wetu kumnanga marehemu (tuko sawa kadri ya uwezo wa akili zetu )

r.i.p radio
 
Hivi Weasel ataweza kusurvive kimuziki bila huyu? maana ni kama alikuwa anambeba
Cartoon and baboon hio combination iache mzee baba hakuna kubeba ile ni perfect combo
 
ni vema kutambua nafasi ztu kwenye jamii huyo ni mwana muziki lakini wengne ni kina sisi hatupendi kujenga mahusiano mazuri na watu kila muda tunataka tusiilizwe sisi tu na tutoe wazo na ushauri wa mwisho na sio kutoa nafasi kwa wenzetu...utakuta mtu ana kielimu kidogo tu cha bachelor lakini mmmhhh mtaa mzima watajua kwa kujigamba kwake na kujisifu.......nilishakwendaga bank ya crdb kibo complex kuna mwananchi wa kawaida alikuwa anapokea taarifa zake za mkopo kutoka kwa front officer mmoja wa kiume,basi yule mwanachi akamsifia kwamba ww umesoma sana bwana kwakuwa nilikuwa jirani nikamwambia ww mwananchi hakuna kipya hapo hamna chchte alichosema ukaona kashusha kutoka mbinguni ndo akanielewa yule mwananchi lakini yule front officer alifurahi sana kupewa sifa..kumbe swala lilikuwa dogo tu
Nahisi usingeelezea hilo tukio ndiyo ningekuelewa.
 
Mi kuna kitu nafkiria kuhusu kifo cha Radio

Nakihusisha na Imani kama wengi tunayohusisha kifo cha Marehem Steven Kanumba

Marehemu Ivany sesemwanga

Pamoja na michel Jacksoni

Imani hyo siwezi kuitaja ila najua tutajiongeza kwa kurefer trending picture zake.....
 
Ndio ile ya kunyanyuliwa na mkono mmoja na kubamizwa chini?
Kwa mwili wa marehemu na huyo baunsa angeweza kumfanya kama fimbo na kuwachapia wenzie. Kifupi ndio hivyo marehemu hasemwi vibaya ila nakumbuka hata sani abacha wa nigeria watu walimchana tu kutokana na matendo yake. Umeandika ukweli jamaa alikuwa na dharau na mbabe wa mdomoni ni somo kwetu ndio maana tumegawanyika na mazuri yake tunayataja kama muziki wake na wengine wameenda mbali na kueleza alilielewa vyema somo la kuijaza dunia.
 
Back
Top Bottom