Mowzey Radio tunamlilia, lakini je tunayafahamu haya?

mimi hata nilikuwa simjui, nimeanza kumtafiti jana niliposikia kuna msanii amekufa kwa kupigana na m7 hadi alimchangia hela apone,..ndio sura yake nikaifahamu ila nilikuwa simjui. uganda nilikuwa namjua tu camelion na juliana etc....
 
Jamaa kifo alikitafuta mwenyewe hapo bar,kamkejeli meneja hana uwezo wa kumnunulia black bottle belaire,meneja kwa hasira akamnunulia,yeye kaifungua kamwagia mteja wa watu aliyekuwa anaenjoy kivyake,bouncers kujaribu kutuliza hali nao wanaambulia matusi,kwa kifupi anajulikana kwa matukio ya ugomvi na dharau..chini ni habari ya radio host kasuku aliyoongea radioni last year baada ya jamaa kutupa laptop ya dj kwenye swimming pool,alimuambia ya kwamba asipojirekebisha kuna siku atapigwa na kupasuka kichwa na kufa...

Dembe FM’s Kuku Wazabanga aka Kasuku is well known for always talking trash/ill about celebrities and musicians especially when he talked about how Eddy Kenzo hired goons to beat up the late Danz Kumapeesa and at this moment he prophesized about Radio’s death.

A few months ago, last year after the death of city tycoon Ivan Semwanga, Kasuku went on a live radio show on Dembe FM which airs every morning, Radio threw a DJ’s laptop into the swimming pool and Kasuku said that if Radio doesn’t stop his violence, he will be beaten and his head will be shattered to death.

While on a live radio show, Kasuku asked the listeners to pull out their recorders and record the show, now what he said is exactly what happened, Radio got into a fight, got beaten u badly with his head shattered and now he’s dead.

” Kyokka Ugandans…. Mbalaba munjasamira but u will all b fine. Rest in peace Moses Ki Radiology.” Kasuku said in his defence.
source: VIDEO: Kasuku Prophesized that Radio Will be Beaten and his Head Shattered to Death — Blizz Uganda
 
Kale ka inshu ka kubwia ngada naona umekasahau mshana jr, ukiwa hata umelewa kwa kilevi kimoja kama mimi wa charlz glass, yasingetokea haya, ngada zilikuwa zimkolea high zaidi ya hi5! Na ile kutaka anyenyekewe as vip wakati club wote ni flat-rate!
 
Nimekusoma
 
Hili ndo tatizo kubwa kwa kijana wangu RIP. HUYU DOGO ALIKUA ANAVUTA BANGI KILO NA ½ PER WEEK
 
R.I.p radio

Lakini hii imekuwa kama tamaduni kwa mastaa wa afrika

Wanajiona watu flani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…