ukipenda boga penda na ...Aliwezaje kupendwa na ukorofi wote huo!?
sawa kabisa mkuuPumzika kwa Amani Radio lkn wengi tujifunze kupitia kifo cha mwenzetu kuwa jeuri haitakiwi au majivuno kisa tu we superstar ona sasa imegharim uhai wake .
Tenda wema kadri ya uwezo wako sifa na majivuno havifai kbs .sawa kabisa mkuu
havitakiwi kabisa umesahau hiloTenda wema kadri ya uwezo wako sifa na majivuno havifai kbs .
Pole mtakatifu.[emoji20]Kama hio video aliyopigwa chini na baunsa inaumiza sana.
Najuta kuifungua. Tangia jana sikutaka kuifungua leo niliifungua kwa bahati mbaya
Cartoon and baboon hio combination iache mzee baba hakuna kubeba ile ni perfect comboHivi Weasel ataweza kusurvive kimuziki bila huyu? maana ni kama alikuwa anambeba
Kila mtu atakufa. Ila vingine ni vya kujitakia yaan unakufa kabla ya muda wako. Tunavyoamini unastahili kufa ukiwa umezeeka yaan babu au bibiInasikitisha sana. KIFO JAMANI,,HAKUNA AIJUAYE KESHO YAKE
Nahisi usingeelezea hilo tukio ndiyo ningekuelewa.ni vema kutambua nafasi ztu kwenye jamii huyo ni mwana muziki lakini wengne ni kina sisi hatupendi kujenga mahusiano mazuri na watu kila muda tunataka tusiilizwe sisi tu na tutoe wazo na ushauri wa mwisho na sio kutoa nafasi kwa wenzetu...utakuta mtu ana kielimu kidogo tu cha bachelor lakini mmmhhh mtaa mzima watajua kwa kujigamba kwake na kujisifu.......nilishakwendaga bank ya crdb kibo complex kuna mwananchi wa kawaida alikuwa anapokea taarifa zake za mkopo kutoka kwa front officer mmoja wa kiume,basi yule mwanachi akamsifia kwamba ww umesoma sana bwana kwakuwa nilikuwa jirani nikamwambia ww mwananchi hakuna kipya hapo hamna chchte alichosema ukaona kashusha kutoka mbinguni ndo akanielewa yule mwananchi lakini yule front officer alifurahi sana kupewa sifa..kumbe swala lilikuwa dogo tu
Nami niliwaza hivyo hivyoNahisi usingeelezea hilo tukio ndiyo ningekuelewa.
Madada huwa hawachagui mtu wa kumpendaAliwezaje kupendwa na ukorofi wote huo!?
Kwa mwili wa marehemu na huyo baunsa angeweza kumfanya kama fimbo na kuwachapia wenzie. Kifupi ndio hivyo marehemu hasemwi vibaya ila nakumbuka hata sani abacha wa nigeria watu walimchana tu kutokana na matendo yake. Umeandika ukweli jamaa alikuwa na dharau na mbabe wa mdomoni ni somo kwetu ndio maana tumegawanyika na mazuri yake tunayataja kama muziki wake na wengine wameenda mbali na kueleza alilielewa vyema somo la kuijaza dunia.Ndio ile ya kunyanyuliwa na mkono mmoja na kubamizwa chini?