Mowzey Radio tunamlilia, lakini je tunayafahamu haya?

Daaah... Umenikumbusha Danz Kumapeesa... Magged and Died at 22yrs. Produced Mbozi za malwa ya bebe cool na Sauti sol..
 
Wabongo wengi hawamjui radio , hila mshikaji alikuwa very very talented, nimemjua toka 2009 ,tatizo halikuwa haimbi sana kiswahili
Jamaa alianza serious music 2005 kwa wimbo wa nakudata, na kiswahili chake nilikua ni kuchomekea chomekea... Such a talent
 
Cartoon and baboon hio combination iache mzee baba hakuna kubeba ile ni perfect combo
Jina la Cartoon and baboon ilikua dis kutoka kwa bebe cool... Nao wakaikubali ( cartoon, baboon never accept to drown - weasle ma nizo kwenye wimbo wa Ability)
 
[QUOTnilikuaocjuisasili6649 member: 41968"]Jina la Cartoon and baboon ilikua dis kutoka kwa bebe cool... Nao wakaikubali ( cartoon, baboon never accept to drown - weasle ma nizo kwenye wimbo wa Ability)[/QUOTE]
Oooh nilikua cjui asili ya hilo jina hahah
 
Jamaa alianza serious music 2005 kwa wimbo wa nakudata, na kiswahili chake nilikua ni kuchomekea chomekea... Such a talent
Ana kipaji kuzidi DIAMOND PLATNUMZ au RAYVANNY [emoji23] [emoji13] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…