Moyo kwenda kasi sana wakati wa usiku

Moyo kwenda kasi sana wakati wa usiku

Habari zenu wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi huwa napata sana ilo tatizo la moyo kwenda mbio sana sana wakati wa usiku pia nikistuka pia moyo unaenda kasi sana mpaka inanibidi niamke nikae kwanza utulie pia hata wakati wa mchana ila sio sana,
Naombeni ushauri wenu katika pia nilishaenda hospital kupigwa x Ray pamoja kupima presha ila wakasema sina

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siku nyingine ukija na shida njoo na details kamili, za urefu wako, umri, uzito nk ili madakatri au wenye uzoefu na hizi shida wakusaidie.
Ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pima cholesterol hapo utakuwa umemaliza kila kitu,huo uzito wako sio shida sana...
 
Back
Top Bottom