sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Mkuu siku nyingine ukija na shida njoo na details kamili, za urefu wako, umri, uzito nk ili madakatri au wenye uzoefu na hizi shida wakusaidie.Habari zenu wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi huwa napata sana ilo tatizo la moyo kwenda mbio sana sana wakati wa usiku pia nikistuka pia moyo unaenda kasi sana mpaka inanibidi niamke nikae kwanza utulie pia hata wakati wa mchana ila sio sana,
Naombeni ushauri wenu katika pia nilishaenda hospital kupigwa x Ray pamoja kupima presha ila wakasema sina
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app