Moyo uliao machozi....!

<br />
<br />
Am on ma way out of it gal!
 
<br />
<br />
kumbe shairi.
 
Kwanini unaangalia upande mmoja??

Kwa nini usitoe machozi ya furaha ya kuwa Mungu amekuonyesha unafiki wa yule uliyetaka kumpa penzi lako la milele?

Kwanini usitoe chozi la furaha kwa kuwa umeweza kugundua kuwa huyo jamaa si wako muda huu badala ya baadaye ambako angeakuwacha na familia inayoangaika...

Ukiangalia upande wa pili ni furaha na vigelegele...Empty your chest and smile again.. Umepata Bingo la kujua unafki wa yule uliyedhani ni wako!
 
falling down does not mean being buried mamii. ups and downs ni sehemu ya maisha. just give yourself some time to heal and adjust. life must continue and good should prevail

ushaur mzuri..... namsisitiza atake tym to heal.. asije dondokea pabaya zaid
 
Ya kawaidasana haya mkuu, mateso ya mapenzi yapo na ukiyapitia nafikiri unakomaa zaidi na shukuru Mungulimetokea kuliko angejificha mpaka mkafunga pingu, huyo hakuwa wako hata Mungu alishaandika awe wa mwingine, wakati mwingine tusilalamike bali tumtukuze Mungu kwani kila jambo lina maana yake kubwa sana.....all the best katika searching yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…