Moyo Umegoma kumuoa Mwalimu

Bundakwetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
551
Reaction score
1,014
Wakuu salama na hongera kwa kazi mnazozifanya kwa kulijenga taifa letu.
Niende kwenye mada Huyu Madam baada ya kufunguka kuwa anahitaji ndoa na mimi na kupelekea hadi kunitunuku tam yake, na mimi nimemuelewa make anashep, ni mkarim na mwenye upendo kwa watoto wangu ila kwenye suala la ndoa Moyo wangu umegoma
 
😱😱
 
Kama Umegoma mchane tu Kwamba nilikuwa napita tu
 
Wewe hukutaka kuoa,shida yako ilikuwa kumuingia maungoni madam wa watu
 
We muoe tu, kwani baadae si mtaachana?
 
Moyo umegoma baada ya kula tamu yake siyo

Wanawake wanapitia kipindi kigumu sana na watoto wa miaka ya 90
 
Kwani mko mikoa tofauti kikazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…