Moyo Umegoma kumuoa Mwalimu

Mi huwa natamani kuoa mwalimu nakushauri usiogope Kama anaweza kufundisha wajinga 70 na wakaelewa we mjinga mmoja huwezi kumshinda
😀😀Ila huu msemo hauna uhalisia unaweza kupata mjinga mmoja akukuendesha kuzid wajinga mia mbili
 
Mbona kama una sifa za kishoga mtoto wa kiume.....ila wanaume wengine bhana
Kwanini umtusi na kumdharaulisha mtu katika kutetea hoja. Hii kadhia ipo sana kwa wenzetu nyie na hilo mnalitumia sana mkijua litamuudhi au kumdhihaki mwanaume. Sijui labda limekuwa neno la fashion na mnaliiibua kila uchwao huku mkipinga hamyataki hayo mambo. Kumdhihaki mtu kutamfanya anyamaze bali hataelewa wala kubeba hata moja utakalomshauri
 
naona unajitafutia matatizo mwenyewe
1. Ana shape (BAADA YA SIKU 90s shape inakuwa si kitu tena-angalia kitu cha ziada)
2.mkarimu (wakati wa mahusiano mwanzo tabia zote njema kila mtu anakuwa nazo, ingieni kwenye ndoa ndio tabia utazijua).
3.Upendo (wale wenye kujinyenyekeza wakati wa sendoff na harusi kwa wazazi wako ndio hao hao kesho hawata taka kuona ndugu zako kwako).

KWA UJUMLA, KUINGIA KWENYE NDOA KWA SASA NI KAMA UNAFANYA BETTING!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…